wakala

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa umeandika wosia na uliowaweka kama warithi wakala njama kukuua; je, wakibainika wataendelea kuwa warithi?

    Umeandika WILL ukawaweka wanao then wakapata habari kuwa wao ndio warithi, wakaweka njama wakakuondoa Dunia, baada ya uchunguzi wanabainika ndio waliokuua. Wanafikishwa mahakamani, mmoja anapatikana na hatia ya mauaji wapili anapatikana na hatia yakupanga mauaji. Hukumu Inatoka kwa miaka...
  2. kindaboyi

    JamiiForums Tanzania Nifuate utaratibu gani kupata uwakala kama NMB Wakala pamoja na till namba za mitandao ya simu?

    Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha! Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua...
  3. Bonheur Travels Tanzania

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma: Tumia Wakala kwenye Safari za Ndege au Huduma za Hoteli kuepuka hasara na kuharibu ratiba zako

    Ndugu WanaJF, Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia kuelimisha wasafiri na wanaotarajia kusafiri kuhusu mambo mbalimbali ili safari zao ziwe salama na...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  5. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Ni vipi vigezo vya kuwa wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani?

    Kua wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani nini vigezo na masharti. Nataka niwe wakala. Asantee
  6. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ni Wakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu ila katapeliwa kwa njia hii

    Habari zenu wote humu ndani? Kisa kipo hivi Rafiki angu anasimulia kwamba alikuja jamaa kibandani kwake akasema kwamba kuna mtu wake anataka kumtumia hela ila hana simu ila ana namba ya jamaa kichwani, na pia ni namba ya voda. Rafiki angu huyo akamwambia chukua namba yangu hii ya Wakala (zile...
  7. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Francesca Roja - Mmama aliyejulikana kama wakala wa shetani

    Tarehe 19 mwezi wa 6 mwaka 1982, katika makazi ya mwanamama ajulikanaye kama Francesca Roja katikamji mdogo wa Necochea, Argentina, kulitokea mauaji ya kutisha. Watoto wawili wa Rojas waliuawa kwa kuchomwa na kisu. Yalikuwa ni mauaji ya kutisha sana. Rojas alidai kwamba, mwanaume mmoja...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi Mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi

    Kuna ufisadi mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi ambao unahusisha wanaojiita wataalam wa tehama, iko hivi kuna mfumo unaandaliwa wa ukusanyaji nauli kwa njia ya kielektroniki ambao kwa sasa haujakamilika na una zaidi ya mwaka mmpoja sasa. Mfumo huo unatengenezwa na wakala wa mwendokasi na...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sheria: Kutokuwepo kwa Wakala hakubatilishi Mchakato wa Uchaguzi

    Kifungu cha 71 cha Kanuni za Uchaguzi 2020 (Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:- Kutokuwepo kwa wakala au wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo.
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais ACT kukosa wakala ni dhihaka ya demokrasia

    Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake. Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo. Inavyoonekana jambo hilo limefanywa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wakala kutoridhika na Maandalizi ya Kituo cha kupigia Kura

    Kifungu cha 52(2) cha Kanuni za Chaguzi za Taifa ( Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge), 2020 kinaeleza kuwa: Endapo wakala wa upigaji kura hatoridhika na maandalizi ya kituo cha upigaji kura atatakiwa kabla ya kuanza kupiga kura atoe malalamiko kwa msimamizi wa kituo au msimamizi msaidizi kupitia...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yawaapisha Mawakala wa Wagombea Urais, wakala wa ACT-Wazalendo ashindwa kutokea

    Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais. Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT Wazalendo haina Wakala. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
  14. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arumeru: Mawakala wa CHAUMA bado wanasota Ofisi ya Mkurugenzi

    Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge. Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wale wanao hitaji muda wa ziada

  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

    Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
  17. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Kila Chama cha Siasa kimeruhusiwa kuweka wakala kwenye kila kituo ili kulinda maslahi ya Chama na Wagombea

    Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo. Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao...
  19. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

    Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
  20. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nani ni wakala (agent) wa kampuni hii ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nani ni wakala (agent) wa kampuni ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania? Xorcom, established in 2004, designs and manufactures integrated business telephony solutions that support both traditional PSTN and VoIP. Xorcom...
Back
Top Bottom