wakala

  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Benki zitathmini gawio wanalotoa kwa mawakala, wanafanya kazi kubwa

    Nimekuwa nikifuatilia hizi huduma Ni ukweli kuwa, kuna watu wengi wamehamia kufanya huduma zao kwa wakala hasa walioko kwenye bank yetu pendwa na kuacha kabisa kwenda Bank na hata kama wakala yupo mlangoni mwa bank. Nafikiri Bank inatakiwa KUJITADHMINI HUDUMA ZAKE na sio kuacha kutoa gawio...
  2. Deep Image Studio

    JamiiForums Tanzania Mabango ya Wakala Tanzania

    Watengenezaji wa Mabango Tanzania kwa gharama nafuu zaidi. karibu tukuhudumie, wasiliana nasi kwa namba 0762399650 kwa maelezo zaidi.
  3. S

    JamiiForums Tanzania TanFoam Arusha huyu Wakala wenu “Yahaya Mono Msuya” ni mwizi

    Kuna ndugu yangu alifika kununua godoro kwa wakala wa kampuni kongwe inayotengeneza magodoro ya TanFoam. Wakala mwenyewe anaitwa Yahaya Mono Msuya yuko Arusha mjini mtaa wa mjini kati karibu na soko kuu, yeye alitaka kununua godoro la Tanfoam badala yake walimshawishi kununua godoro la Besti...
  4. M

    JamiiForums Tanzania NBC mnalalamikiwa na wakala wenu

    Jana nilikwenda kwa wakala wa NBC aliyepo Kilosa mjini (ni mmoja tu) na niligomewa kutoa kiwango nilichohitajika huku wakala akilalamika kuwa NBC hawana ushirikiano na anatarajia kujivua uwakala. Alieleza mambo mengi na mojawapo ni kuwa kuna wakati inabidi yeye kma wakal akusafiri kwenda...
  5. Designated

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Ukipokea pesa kutoka kwa wakala au namba ngeni unafanyaje?

    Habari wadau wa MMU, Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake niliowahi kuwa nao ambao pamoja na kunipiga mizinga, kuwapata walikua wanasumbua kidogo. Mfano mnapanga...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyokuwa nadhani nimeokoka kumbe ni wakala wa ibilisi kanisani

    Mwaka 2017 nilipata neema ya wokovu, niliombewa sala ya toba na nikakaribishwa rasmi kundini, kwenye kuitenda kazi ya BWANA. Maisha yangu kabla ya wokovu yalikuwa ni maisha meusi, ulevi, umalaya, uvutaji wa mioshi mbalimbali, uhuni, udhalimu, uporaji, udhulumaji, na ubazazi usiolezeka. Maisha...
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenye NMB wakala machine ambayo anataka kuiacha

    Habari, Nina kijana wangu aliomba hii kitu na kukamilisha taratibu zote ila mwaka wa pili sasa hawajampatia Mwenye nayo please anijulishe Yupo Arusha
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Riwaya ya kipelelezi: Wakala wa Siri

    RIWAYA: WAKALA WA SIRI Mtunzi; Robert Heriel 0693322300 Episode 01 MAABARA YA BORETI. Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya uchunguzi, ndani yake ilikuwepo maiti iliyofungwa kwa karatasi jeupe la nailoni. Ilikuwa ni maabara ya...
  9. Investaa

    JamiiForums Tanzania Laini ya wakala ya tigopesa

    NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
  10. Investaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakala wa Safaricom

    Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Édouard Mendy akielezea jinsi alivyoachwa na wakala wake

    ′′ Nilikuwa na umri wa miaka 22 na mkataba wangu na AS Cherbourg ulikwisha. Wakala wangu aliniambia kuwa nilikuwa na ofa ya kujiunga na vilabu vingine vidogo. Baadaye, nilijaribu kuwasiliana naye lakini hakuwahi kunijibu tena" Nilimtafuta nikakata tamaa, hadi pale aliponitumia SMS ya kujiondoa...
  13. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  14. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Ianzishwe Wakala wa Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Vijijini

    UTANGULIZI TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika katika nyanja mbalimbali. Maendeleo ya TEHAMA katika nchi yetu na Dunia yanazidi kuongezeka kwa sababu...
  15. Sirdirashy

    JamiiForums Tanzania Napataje Leseni ya kuwa agent wa huduma za ajira?

    Habari wadau yoyote mwenye kujua swala zima lakupata Leseni ya uwakala wa ajira.
  16. famicho

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya Wakala/Muuzaji wa PoolTable

    Salaam wanaJF! Kama "taito" inavyojieleza, naomba kufahamu wapi, namna gani, na kwa bei gani naweza kupata Pool table. Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba aniongoze. Nipo mkoani. Wasalaam
  17. O

    JamiiForums Tanzania Namtafuta wakala wa rasta

    Nahitaji kuanzisha biashara ya rasta tu nataka nianze na mtaji wa bero moja la sh 90000/= nilivyofanya uchunguzi lina rasta 100. Nahitaji kuuza kwa sh 1200. Naomba msaada wa wakala pia naomba mnisaidie mtu atakayekuwa ananifanyia hii biashara niwe namlipa sh ngapi(my agent), pia shelves ziwe za...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wakala wa benki alinifanya niishi katika lindi la ufukara, sasa zamu yake

    Habari! Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha. Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  20. Baba ilham

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
Back
Top Bottom