wakala

  1. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo

    Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo ili kuwaongezea uwezo, kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. Akifungua Mafunzo hayo ya siku tano...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

    Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Naibu kamishina TIRA apongeza mkakati wa benki ya CRDB kuchochea ujumuishi wa bima kupitia CRDB wakala

    Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), Khadija Said (watatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “10 na Kitu” ya Benki ya CRDB inayolenga katika kuadhimisha miaka 10 ya huduma za CRDB Wakala. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Wateja Wago na wa Kati wa Benki ya...
  4. Ileje

    JamiiForums Tanzania Mhandisi John Nzulule Mtendaji Mkuu wa Wakala wa ndege za serikali amekua akishirikiana na nani?

    Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia ndege za ATCL ambazo zimekuwa zikinunuwa na serikali kukwepa kukamatwa na wadeni wa ATCL huko majuu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wakala: Baleke ni Mchezaji Halali wa Tp Mazembe

    JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE "Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili "Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said Njoo Mkoa wa Geita

    Nenda Mkoa wa Geita ukajionee Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa. Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo ‘atibuana’ na wakala wake

    Inadaiwa kwa nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake huyo, Jorge Mendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya timu ambayo Ronalo anatakiwa kujiunga nayo. Inaelezwa kuwa klabu zinawasiliana na Ronaldo (37) moja kwa moja kwa ajili ya mazungumzo ya kumsajili badala...
  9. agudev

    JamiiForums Tanzania Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

    Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja. Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Cristiano Ronaldo aanza mazungumzo na Bayern Munich

    Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United. Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan...
  11. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta wakala wa bia Mwanga au Same

    Wakuu nimezunguka wilaya ya Mwanga nimekosa wakala wa bia. Mimi nahitaji bia za jumla kreti 300 Au atakaweza kuniunganisha na muhusika atakae weza kunisaidia nitashukuru. Au namba za makao makuu ambapo ataniunganisha na wakala
  12. MERCENARY2015

    JamiiForums Tanzania Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

    Salamu Wakuu Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha. Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia...
  13. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu ambaye ni Wakala wa Mpesa ameninunia

    Jamani nimenuniwa leo. Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money. Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke? Nikatoa maelezo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni yupi aliyekuwa wakala wa kifo & ulemavu kabla ya kuja kwa bodaboda?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmiliki mpya wa Chelsea akutana na wakala wa Ronaldo

    Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno. Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakala wa wachezaji, Mino Raiola afariki dunia

    Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni; Player...
  17. Joasi

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa maduka ya uwakala wa mabenki na chuma ulete

    Ndugu habarini, Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu. Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao. Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini macho. Tarehe 23.3.2022 alikuja mteja kwa bashasha sana na aliweka 50,000 asubuhi kama saa 2 hivi...
  18. Mayova

    JamiiForums Tanzania Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

    Ndugu zanguni, naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake. Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa, tigo pesa n.k
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  20. Rurakha

    JamiiForums Tanzania NMB wakala kwa njia ya simu ya Mkononi

    Habari za leo Hivi karibuni kumetokea wimbi la uchache wa machine za NMB kwa mawakala hivyo baadhi ya mawakala walilazimika kutumia NMB via Selcom Lakini kutokana na changamoto kati ya NMB na selcom hii huduma imesitishwa hivyo NMB wakaja na huduma mpya ya kutoa huduma kwa kutumia simu yako...
Back
Top Bottom