Nifuate utaratibu gani kupata uwakala kama NMB Wakala pamoja na till namba za mitandao ya simu?

kindaboyi

Member
Apr 5, 2018
23
23
Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!

Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua tu za mtaani.

Sasa jamani ambaye ana ufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
 
Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k hua unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!

Sasa jamani ambaye anaufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
Mkuu nahisi hayo mashirika yana websites zao tafadhali kama una muda uliza online au wafuate in person kwenye vituo vyao.
 
Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k hua unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!

Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua tu za mtaani.

Sasa jamani ambaye anaufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
Mkuu kwa wenye mitaji mikubwa hawana haja ya kununua till kwa watu ila wale wenye mitaji midogo wanaamua kununua kwasababu ukienda kuchukua till lazima uwe na mtaji I guess 1600000 ambapo laki nane waitaiweka kama float itakayobaki ndio utumie kama cash ya kuwapa wanaotoa.

Unless kama utaratibu umebadilika sasa unakuta mtu anataka anza biashara ila mtaji ana laki nane anaona bora anunue tu kwa mtu.
 
Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!

Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua tu za mtaani.

Sasa jamani ambaye ana ufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
Njia nzuri ya kufuata ni kuandaa mtaji wa kuridhisha.
Vitu vifuatavyo lazima uwe navyo.
Namba au kitambulisha cha Taifa (Ikipatikana copy Ya kitambulisho itapendeza )
Namba ya Mlipa kodi TIN (Certificate copy inahitajika lazima)
Leseni ya biashara iliohai
picha Passport size

NB: Kuna baadhi ya makampuni wanahitaji hizo copy zako za TIN, Leseni na Kitambulisho lazima zipigwe muhuri wa Mwanasheria, Na pia kama Utatumia Jina la Kampuni badala ya Jina lako basi itakulazimu uwe na Tax Clearance Form na documents zingne za kampuni.

Kuhusu Bei za Hizo laini inategemea na utakae kutana nae na kumweleza shida yako. Wengine hata free watakufanyia hiyo kazi ila tu ukubaliane na Kiwango cha mtaji kwa Mara ya Kwanza kuingiza kweny laini yao.
 
Njia nzuri ya kufuata ni kuandaa mtaji wa kuridhisha.
Vitu vifuatavyo lazima uwe navyo.

NB: Kuna baadhi ya makampuni wanahitaji hizo copy zako za TIN, Leseni na Kitambulisho lazima zipigwe muhuri wa Mwanasheria, Na pia kama Utatumia Jina la Kampuni badala ya Jina lako basi itakulazimu uwe na Tax Clearance Form na documents zingne za kampuni.

Kuhusu Bei za Hizo laini inategemea na utakae kutana nae na kumweleza shida yako. Wengine hata free watakufanyia hiyo kazi ila tu ukubaliane na Kiwango cha mtaji kwa Mara ya Kwanza kuingiza kweny laini yao.
Kumbe ni rahisi tu aisee
 
Boss nilaisi sana kwasasavkuzipata piga namba 0672275317

396d2be9-e2c7-4e1e-837d-b85c72e22734.jpg
 
Back
Top Bottom