Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania.
Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura,
Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.
Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo wasimamizi wakuu wa vituo vya uchaguzi.
Sisi tusioongezewa mshahara miaka 5 ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura!
Je, nani atakayekataa kumpa fomu ya matokeo ya mwisho wakala wa upinzani katika vituo vya kupigia kura, ni mwl, nesi, mhudumu kituo cha afya, form 4 na six walopigika mitaani?