wakala

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

    Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Kila Chama cha Siasa kimeruhusiwa kuweka wakala kwenye kila kituo ili kulinda maslahi ya Chama na Wagombea

    Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo. Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao...
  4. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

    Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Nani ni wakala (agent) wa kampuni hii ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nani ni wakala (agent) wa kampuni ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania? Xorcom, established in 2004, designs and manufactures integrated business telephony solutions that support both traditional PSTN and VoIP. Xorcom...
  6. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Pongezi wakuu wapya wa idara, taasisi, wakala na mamlaka mliochukua nafasi za waliotia nia

    Ujumbe muhimu: Likizo ya Bila malipo huendi na cheo, na ukirudi hukikuti Idara Kuu ya Utumishi Pongezi kwa kuonesha weledi katika kusimamia taratibu za umma. Tumeona mmefuata mfano mwema wa Rais wetu kwa kuwapa nafasi wateuliwa wapya baàda ya walikuwa na nafasi hizo kujaa tamaa. Maajabu...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kisheria ni halali Lissu kuchukuliwa fomu na wakala, na wakala pia kurudisha fomu tarehe 19 Julai 2020? Hatakiwi kurudisha mwenyewe?

    Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala. Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi ushindi was kishindo. Akikabidhi fomu hiyo kwa mke wa Lema,Neema Lema baada ya Lema kuwa safarini...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tutaelewana taratibu; Ukitoa pesa kwa wakala wa pesa Jina liwe la jinsia tofauti na yako hutakiwi kupewa pesa zaidi ya kukamatwa

    Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala! Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atoa tamko baada ya Wakala wake kuchukua fomu, akumbusha sifa za wanaostahili kuwa wadhamini, asisitiza kurudi nchini

    Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano. Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
  11. f_m

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Mtandao wa Serikali (EGA) ni wakati wenu kujipambanua

    Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
  12. NMB Tanzania

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu wakala mzuri wa kuagiza gari kutoka Nje

    Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu na uzoefu wa wakala wa uagizaji magari kutoka nje ambao hawana longo longo.
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza namba moja ya wakala kwa mitandao yote ya simu

    Yaani badala ya wakala kubandika namba za kutolea pesa za mitandao tofauti tofauti, aweke namba moja tu ya wakala na wateja wenye line za mitandao yote waweze kutoa pesa kwa kutumia namba hiyo hiyo moja, halafu wenye mitandao watagawana wenyewe pesa huko kwa kutumia automatic system...
  16. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

    Taarifa ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa wizi kwenye mashine za kutolea fedha benki (atm) mnamo tarehe 25/10/2019 katika kituo cha polisi Mbagala maturubai, mzee Ernest Mika Sakala, ambaye ni afisa mwandamizi mstaafu wa jeshi la polisi alitoa ripoti kwamba tarehe 23/10/2011 majira ya 10:00hrs...
  17. mayowela

    JamiiForums Tanzania Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

    Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi. Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kutopewa mradi huku akimtaka Mtendaji Mkuu kujitathmini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo. “TBA tunaihitaji lakini watu wake wana shida. Hatuwezi kuwaacha, TBA wasipewe miradi kwa...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Wizara ya Mifugo na Uvuvi na Wakala wa Vipimo

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na Wakala wa Vipimo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 4 kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili. MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Viwanda na Biashara ipo kwenye mchakato wa kuanzisha Wakala wa Shopping Malls Tanzania

    Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya ndiyo makujuku ya wakala huo: 1: Kujenga na kurasimisha shopping malls zilizopo kwa utaratibu...
Back
Top Bottom