Uchaguzi 2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.

1603345981699.png
 
Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.

View attachment 1608071
Hii inaweza kuchukuliwa kipole pole lakini ikawa silaha pia.... huyu mzee, askar mstaafu, maana yake aliitumikia serikali lakini mwishowe akadhulumiwa, hivyo inaleta ujumbe kwamba serikali iliyopo haitendi haki.... na ili upate haki unatakiwa uitafute nje ya serikali iliyopo.

PICHA INAYOTAKIWA KUONWA: Nyie wote mnaoitumikia serikali sasa kufa na kupona mkidhani inawasaidia mmemumia... chagueni mbadala mpate haki zenu maana waliopo madarakani kwa sasa wapo kwa maslahi yao na familia zao tu, huyo mzee ni muhanga na mfano kwa wengine hasa maaskari.

Tar 28/10 msifanye utani na maisha yenu ya baadae...... uvumilivu wenu utawaponza.
 
Wazee kama hawa hatuna cha kuwalipa kwa ujasiri na moyo wao waliouonyesha. Asanteni sana.
 
umesoma hii

Incumbent John Magufuli is widely expected to win re-election despite the recent return to Tanzania of main opposition challenger Tundu Lissu, who took exile in Belgium after suffering 16 bullet wounds when he was shot by unknown assailants in 2017.
Nimeiona
 
Back
Top Bottom