Ukiwa umeandika wosia na uliowaweka kama warithi wakala njama kukuua; je, wakibainika wataendelea kuwa warithi?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
525
1,000
Umeandika WILL ukawaweka wanao then wakapata habari kuwa wao ndio warithi, wakaweka njama wakakuondoa Dunia, baada ya uchunguzi wanabainika ndio waliokuua. Wanafikishwa mahakamani, mmoja anapatikana na hatia ya mauaji wapili anapatikana na hatia yakupanga mauaji.

Hukumu Inatoka kwa miaka ishirini dhidi ya kifungo Cha maisha. Mtoto wa tatu anakutwa hana Wanafungwa hatia, je kisheria bado wote watatu wataendelea kuhesabika Kama warithi?
 

Podcast

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
396
500
Kuna sababu kadhaa za kufanya mtu aondolewe kwenye Will hata kama aliandikwa kabla au baada ya muandishi kufariki, sababu hizo ni kama.

1/ kutaka kumuua au kumuua aliyeandika Will
2/Kuharibu au kudhuru mali za aliyeandika Will
3/Kutembea na mke wa aliyeandika Will
 

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
7,327
2,000
Kuna sababu kadhaa za kufanya mtu aondolewe kwenye Will hata kama aliandikwa kabla au baada ya muandishi kufariki, sababu hizo ni kama.

1/ kutaka kumuua au kumuua aliyeandika Will
2/Kuharibu au kudhuru mali za aliyeandika Will
3/Kutembea na mke wa aliyeandika Will
Bahati Mbaya machache hakuandika kuwa mdogo wake, na watoto wake walitembea na mke wake , sijui kwanini mwana sheria wake hakumpa maunjanja hayo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom