waislam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye. Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa. Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku...
  2. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 429 Shakahola forest death: Kenya security kushinda vita vya ugaidi dhidi ya Al shababu bado sana?

    Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua. Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa viongozi na watu wote kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani

    Nawashauri hasa wanasiasa na waislamu, tusishinde kwenye maofisi ya vyama tu katika kipindi cha mwezi mtukufu wa ramadhani. Ni muda wa kusoma Quran mwezi huu wa Ramadhani. Tujifunze walikuwepo wengi lakini hivi sasa imekua history. Maisha baada ya kufa ndio maisha kuliko haya ya duniani. Pia...
  4. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hawa Wayemen, Pakistan na Iraq ni wa Uislam upi? Mbona Dubai na Saudia ni watu poa sana?

    Mimi ni mkristu ila kuna muda inabidi ukweli usemwe. Leo nimekaa nikakumbuka trip yangu ya kwanza Dubai, kuna protocols nilivunja ila wahusika pale (waarabu) wakaniita ofisini kwao kwanza nikaulizwa kama nimekula, nikapelekwa kula kisha ndo wakanikalisha chini kunielekeza. Overall experience...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kufanya biashara ya Familia kwa wakristo, biashara za Familia tuwaachie waislam?

    Biashara huwa zinarithishwa kwa watoto hasa wa kiume wanaoendeleza kizazi lakini kwa wakristo hali ni tofauti, Baba akifa nusu ya mali zinaenda kwa mke ambae anaweza akawa hajui chochote kuhusu biashara, hapo ataona heri auze biashara ili apate pesa za kuendeleza huko kwao na akatoe sadaka kwa...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

    Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi. Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Alhad Salum alia na Mwamposa kuwaombea wanawake wa kiislamu, awataka mashehe waanzishe vilinge vya dua kuwaponya wanawake!

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Itoshe tu kusema haya yote yanathibitisha kazi njema anayofanya Nabii na Mtume Mwamposa. Yesu ndiye mponyaji!
  9. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

    Friends and Our Enemies, Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo. Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Can Islam coexist with non Muslims? Ni kawaida waislam kuwa huru nchi yenye wakristo 99%, kwanini wao wakiwa wengi huminya imani nyingine?

    Uzi huu sio tuhuma au tetesi, ni uhalisia wenye shahidi / evidence za kutosha Kwa lugha nyepesi, Ni kwanini nchi ikijaa wakristo huwa kuna uhuru wa kiimani kwa waislam lakini ikiwa kinyume kunakuwa hakuna tolerance kwa ukristo ? Nchi inaweza kuwa majority wakristo lakini waislam wakapewa uhuru...
  11. sanalii

    JamiiForums Tanzania Waislam wengi wapo uvuguvugu, sio wa baridi wala wa moto

    Madrasa zimekufa, wanaoenda ni watoto wadogo na wakifika umri fulani wanaacha, shuleni nako kwenye secular hawafanyi vizuri hata somo la maarifa ya uislam wanafeli. matokeo yake ni kuvaa hijabu mtaani kisha kushindana kucheza challenge za nyimbo huko Tiktok, kifupi naweza sema kwa sasa waislam...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

    Yaani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wasio na dini na kuna wahuni, lakini jambo akifanya Muarabu basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna Muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Waislam tujenge vyuo vya kuwapa vijana ujuzi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ujenzi wa misikiti ambapo ni jambo jema japo mingine inajengwa karibu karibu sana na mingine nje sana; Kimsingi sipingani na huu utaratibu ILA kwa umuhimu, nimeona tuna nguvu kazi ya Vijana wengi sana mitaani ambao hawana ujuzi (hawa ajiriki) hivyo, nashauri misaada...
  14. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji wawakilishi waadilifu ambao watasimama katika kulikomboa taifa hili

    Friends and Enemies, Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

    Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA. Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana...
  16. ward41

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

    Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA. Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani...
  17. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

    Wakati sakata lile linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma. Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa vinahusiana sana . Kutokana na hili binafsi napata picha kwamba hili la dp world ni kama kisasi Kwa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Waislam Kuliombea Taifa Ijumaa

    Shehe Mkuu wa Tanzania (BAKWATA) Amewaagiza Mashehe Nchi Nzima kuitumia siku ya Ijumaa ijayo kuliombea Taifa kwa lengo la kuliepusha na Majanga . Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaagiza masheikh na maimamu nchini kufanya dua maalumu ya kumuomba Mungu aliepusha Taifa na maafa...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

    Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo. Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo. Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ? Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe...
Back
Top Bottom