Kwanini watu wana chuki na Uislam na Waislam kwa mabaya ya Waarabu?

Status
Not open for further replies.

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,306
4,458
Yaani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wasio na dini na kuna wahuni, lakini jambo akifanya Muarabu basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna Muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa Waarabu (generalized), hata waliomfanyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikuwa Muarabu
2. Quran imeandikwa kwa Kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga.
 
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
 
Chuki au ubaguzi dhidi ya Waislamu mara nyingine unaweza kutokana na kutokuelewa na miseducation, pamoja na sababu nyingine kama vile vyombo vya habari, matukio ya kihistoria, na hali ya kisiasa. Ni muhimu kutambua kwamba kuenea kwa maoni hasi au chuki dhidi ya jamii fulani haikubaliki na inakwenda kinyume na misingi ya haki za binadamu na utofauti wa tamaduni na dini.

Hapa kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia chuki dhidi ya Waislamu:

1. Ubaguzi wa Kidini:
- Baadhi ya watu wanaweza kuwa na upendeleo au hata chuki dhidi ya dini tofauti, na hivyo wanaweza kuwa na maoni hasi kuhusu Waislamu kwa msingi wa dini yao.

2. Ubaguzi wa Kikabila na Kitamaduni:
- Waislamu wengi wanatoka katika jamii tofauti na za kitamaduni, ikiwa ni pamoja na Waarabu. Ubaguzi wa kikabila au kitamaduni unaweza kuchangia maoni hasi.

3. Ugaidi na Vyombo vya Habari:
- Matukio ya kigaidi yanayofanywa na makundi fulani yanaweza kutoa taswira hasi ya Uislamu kwa jumla. Vyombo vya habari mara nyingine vinaweza kuchochea hofu na chuki kwa kuripoti matukio haya bila kuzingatia muktadha kamili.

4. Ukosefu wa Maarifa:
- Kutokuelewa kuhusu imani za Kiislamu na tamaduni za Waislamu kunaweza kusababisha maoni potofu au ya kupotoshwa.

5. Mzungumzaji wa Kujitenga (Othering):
- Mara nyingine, watu wanaweza kuhisi kutengwa au kuwaona Waislamu kama "wengine," ambao ni tofauti nao. Hali hii inaweza kuchangia kutoelewa na kuleta chuki.

Ni muhimu kukuza elimu, kuelimisha, na kufanya mazungumzo yenye heshima kati ya jamii na dini tofauti ili kupunguza chuki na kusaidia watu kuelewa tofauti zilizopo na kuheshimu utofauti wa tamaduni na dini. Kuelimisha jamii juu ya ukweli wa dini mbalimbali na kukuza mazungumzo ya kuheshimiana ni njia ya kujenga jamii inayokubali na kuheshimu utofauti.
 
Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:
1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga
Mpwa tutafute pesa tafadhali, hizi dini ni biashara za Watu, tafuta pesa safi kwa Njia Safi, Saidia wahitaji, shukrani kwa kila Jambo. Utaishi kwa Amani Sana.
 
Yani
Jamii zote duniani ikiwemo watu weusi : kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya muarabu : basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu ( generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:
1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga


Kwanza huu uzi wako mbona haupo tena ?? uliufuta au umefutwa ??

Biblia inasema Mungu alipigana mweleka na binadamu aliemuumba (Yacob) usiku mzima na akazidiwa nguvu​

 
Sisi wakristo hautuchukii dini ya ntu ila wewe nyie mnajihisi tu namnatuchukia mnatuita makafiri kwenye dini yetu hatuna majin ya kuwaita watu wenye dini zao majina ya ajabu ndio maana nchi yetu ni haina migogoro tupo peace and love .

Mie nawaogopa tu maana nyie mnatumia majini na majini sio vitu vyema ni vitu ambavyo dini yetu tunawakemea
 
Ww km ni muilsam naona utakua huujui.Ndugu wa muislam ni muislam hata yale majini yalio sikia quoran ya yakashangaa nao ni ndugu zetu ila kafiri tutakupendaje ww maana hata ukichinja sisi hatuli ww kuniolewa mwanangu sitaki sasa hapo tu unaona tunataka amani ama sisi ndo tumejitenga
 
Sasa kama tutaamua kulibeba lako kwamba waarabu wapo baadhi ni wapuuzi, tutakuwa na uhakika gani kwamba upuuzi wao hautoku katika maandiko ya kitabu chao cha kidini, ikiwa kila wanachofanya kinarejea katika dini?
 
Wakristo wenye misimamo mikali huwa wanafanya vihoja na mambo ya ajabu ila sio rahisi kufanya ugaidi. Mfano Shakahola, Wasabato masalia, Kibwetere, Jim Jones n.k athari zilienda kwa washirika wao zaidi kuliko watu wa nje.
 
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??

Umesha sema kwenye Nchi ya KIISLAM: sasa kwa nini utake kujenga kanisa kwenye Nchi ya Kiislam?
Hivi unaweza kujiunga chuo kikuu cha Muhimbili cha sayansi ya Tiba utake kusoma Geography au History?

Vile vile kwenye taifa la Kikristo, sio kawaida kuona Waislam wamejenga msikiti huko au umeona msikiti umejengwa Vatican?

Yesu alisha tufundisha kuwa tutumie akili zetu vizuri la sivyo wengi wata angamia kwa kukosa maarifa!
 
Kabla ya kulalalamika waislamu wanachukiwa au uislamu unachukiwa.

Ulishawahi kuangalia wasio waislamu jinsi wanavyoishi na kuwa treated kwenye mataifa ya kiislamu?

Kwenye nchi za kiislamu, asiye muislamu anaweza kuabudu, kujenga nyumba ya ibada kwa uhuru, na kupata kazi kwa usawa kulingana na vigezo vyake vya kitaaluma??
Mwezi November 2023. Saudia Rabia ilitoa nafasi za kazi 500 kwa manesi wa TANZANIA
 
Yani jamii zote duniani ikiwemo watu weusi kuna wenye matatizo ya akili, kuna wwasio na dini na kuna wahuni.

Lakini jambo akifanya Muarabu: basi huyo moja kwa moja ni muislam, hakuna muarabu asie na dini, hakuna muarabu mhuni au katili au mjinga, chochote anachofanya muarabu basi anafanya kuiwakilisha dini ya kiislam, kwanini?

Ni ujinga kutafsiri uislam kutoka kwa waarabu (generalized), hata waliomganyia madhila makubwa Mtume walikua ni waarabu hao hao tena wengine wa kabila lake alipozaliwa.

Uhusiano wa waarabu na Uislam ni mambo mawili tu:

1. Mtume alikua muarabu
2. Quran imeandikwa kwa kiarabu, tofauti na hapo, muarabu ni muarabu na muislam ni muislam

Acheni chuki za kijinga

Screenshot_20240211-191928_Quora.jpg
 
Status
Not open for further replies.
29 Reactions
Reply
Back
Top Bottom