sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,434
- 5,095
Madrasa zimekufa, wanaoenda ni watoto wadogo na wakifika umri fulani wanaacha, shuleni nako kwenye secular hawafanyi vizuri hata somo la maarifa ya uislam wanafeli. matokeo yake ni kuvaa hijabu mtaani kisha kushindana kucheza challenge za nyimbo huko Tiktok, kifupi naweza sema kwa sasa waislam wengi "msikitini hawaonekani na kwenye kumbi za starehe wanatafutwa. (Secular temptation)
Wanafunzi wa kiislam wakike wanavaa hijabu kama fashion na au sare tu au tu wajulikane ni waislam lakini sio kwa lengo la kujistiri, wakati wanarudi shule utakuta wamevivua vijuba viko kwenye bag wamebakiwa na vikofia, mtaani ndo hawavai kabisa.
Masheikh asilimia kubwa hawana mishahara, wanategemea sadaka, pamoja na hali hiyo bado wanashindana kuongeza wake au kuoa na kuacha. wapo ambao pia wanaamini mtoto wa kike akisoma ataharibikiwa. lakini sasa hata wale ambao hawajasoma elimu ya secular wakbaki tu nyumbani wakaolewa, nao pia huharibikiwa. wengi wa mashekh na maustadh wanajifunza uganga ili wapate kuingiza chochote, saa 11 alfajiri anaswalisha, saa moja yupo kilingeni (evil).
kwa sababu hiyo kuna baadhi ya wakristo nao bado wanaamini ukimuna sheikh ana ndevu, ujue anafuga majini 12 (pathetic).
Kuna wavaa vipedo na nusu uchi ambao wana ma baibui yanayovaliwa mwezi wa Ramadhani, kuna walevi wanaoacha kunywa pombe mwezi wa ramadhani, kuna wazinifu wanaopeana break mwezi wa ranadhani. sikukuu ya eid watu wanasherehekea kwa mengi.
wachache wameweza kuweka uwiiano wa maisha , wapo walioshindwa kabisa na kutotoa mahuru na wengi wako kati na kati. (hypocrisy)
Wapo wanaoamini wataweza kuusambaza uislam na dunia nzima itaua waislam, either kwa nguvu (extremist) au kwa mawaidha/daawa (optimist/ tabligh). wapo wanaoona wakifanya ibada wao na familia yao inatosha, na wapo wanaoona kila mmoja afanye anachokitaka (shooting the moon)
1 or 0 or -1 ?