Nguvu ya Waislam kupigania haki iliuliwa na Nyerere

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,351
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.

Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.
 
Nyerere amefariki zaidi ya miaka 20 iliyopita. Kabla hajafa alikuwa sio Rais toka 1985.
Kama mko serious ivunjeni BAKWATA sasa. Rais aliyeko madarakani na maraisi wastaafu wawili wote ni waislam, nani anazuia kuvunjwa kwa BAKWATA?
Aidha muivunje sasa au mkubali tu kuwa madai yenu ya kuhujumiwa na Nyerere ni uzushi tu.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona
 
Uhuru wa nchi hii tulipewa Tu waingereza bila kupigania ebu tuambie hao watu wako walipigana na Nani?
Historia yenyewe huijui
Chama tu kilichopewa huo uhuru kina mchango wa waislam wa Tanganyika kwa kiasi kikubwa waombaji wa huo uhuru walifadhiliwa na waislam wa Tanganyika katika kila hali Nyerere baba wa Taifa mapambano yake yote yalishikwa mkono na Waislam wa Tanganyika mpaka kufanikiwa.
 
Nyerere amefariki zaidi ya miaka 20 iliyopita. Kabla hajafa alikuwa sio Rais toka 1985.
Kama mko serious ivunjeni BAKWATA sasa. Rais aliyeko madarakani na maraisi wastaafu wawili wote ni waislam, nani anazuia kuvunjwa kwa BAKWATA?
Aidha muivunje sasa au mkubali tu kuwa madai yenu ya kuhujumiwa na Nyerere ni uzushi tu.
Nani aivunje sina mamlaka hayo na wala sipo kwenye organization hiyo na wala sio muumini wala mfuasi wa imani hiyo.

Tambua watawala wote waliofuata mpaka sasa wana unyerere ndani yao wa kupenda kutawala wanyonge na ndio maana katiba ya Nyerere mpaka leo ipo na wala haifikiriwi kuondoshwa.
 
Kama kawaida yenu kutafuta wakuwatupia lawama kwa matatizo mliyoyatengeneza wenyewe,kwa ni sasa hivi ni zaidi ya mika 20 nyerere hayupo kimewashinda nini kuwa na taasisi imara,pia magaidi mmeona bakwata hawapendezwi na hoja zenu za kuharibu amani na utulivu wa nchi ndio maana mnawasagia kunguni.
 
Mimi ni Mtanzania nisie mlevi wa imani yoyote ile ya kuletewa wala ya asili ya hapa hapa Afrika.

Mimi nimezungumzia kama Mtanzania wa kawaida sio wa imani hiyo unayofikiri chunga hilo
 
Ukisoma kuhusu historia ya harakati za kudai uhuru wa Tanganyika toka mwanzo unaweza kuona mchango wa waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Hii ni toka vita vya maji maji hadi wakati wa mapambano ya TAA.

Waislam wa Tanganyika wamechangia kwa asilimia kubwa sana kupatikana kwa uhuru wa Tanganyika.

Kwa tabia za waislam kote duniani ni kwamba waislam sio watu wa kupenda kuona wanaonewa na kunyimwa haki zao nao kukaa kizembe tu hio haiwezekani.

Nyerere kutambua nguvu kubwa iliyopo ndani ya waislam katika kupinga uonevu na kudai haki pale wanapoona wana pokonywa aliamua kufanya uharamia wa kuua organization strong ya waislam na kuunda chombo dhaifu BAKWATA ambacho ni kama kibaraka wa serikali.

Waislam wakiwa na nguvu yao halisi tena hawatashindwa kupigania haki tena pale watakapo ona zinavunjwa.

Acha kutukana waislamu Mkuu.
Inamaana hizo sifa zote ulizowapa Waislamu alafu waje washindwe na mtu mmoja aitwaye Nyerere, Kweli?

Kwamba Nyerere alikuwa na miguvu kuwashinda Waislamu wote wa Tanganyika na Zanzibar?
 
Chama tu kilichopewa huo uhuru kina mchango wa waislam wa Tanganyika kwa kiasi kikubwa waombaji wa huo uhuru walifadhiliwa na waislam wa Tanganyika katika kila hali Nyerere baba wa Taifa mapambano yake yote yalishikwa mkono na Waislam wa Tanganyika mpaka kufanikiwa.
Hapa angalau upo sahihi....
Kwangu Mimi naona Nyerere ulikuwa mpango wa MUNGU mwenyewe Kwa watanzania haijalishi ni Nani alimsaidia
 
Back
Top Bottom