CHADEMA, kauli ya Lema kuhusu Uislamu ni msimamo wa chama?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Our Enemies,

Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo.

Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye mtego wa kujiingiza kwenye Taharuki na uislam na waislam.

Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam ni kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi huyo wa chama.

Chadema kama chama kinapaswa kutuomba Radhi,na hususan huyo Lema kupitia hadhara hizo hizo anazozifanya anapaswa kuomba radhi umma wa waislam Kwa kauli zake za fedheha na dhihaka kwetu.

Tunafahamu ni kweli kuwa wapo viongozi wa dini ambao case Zao zilikua na mrengo wa kisiasa,lakini haiwezi kujustify Kwa chadema eti Kwa wao kuzipigia kelele kesi hizo na baadhi ya wale masheikh kuachiliwa basi igeuke kuwa ni nongwa au masemango ya kusema wao walitusaidia basi na sisi tugeuke kuwa watumwa Kwa msaada wao ule,Hilo haliwezekani.

No matter how long wamekaa au wangekaa jela wale masheikh haiondoi facts kwamba kama hawana au hawakuwa na hatia it was just a matter of time tuh kuwa wangeachiwa.

So chadema waangalie kauli zao kama chama na viongozi wao,waislam hatutaki watutaje taje kiholela kwenye mikutano Yao pasipo na sababu za msingi,wasisahau pia chadema chuki ambayo waliipanda Kwa waislam kipindi kile wanaanza choko choko juu ya suala la DP World,wajikite kwenye hoja za msingi ambazo wao kama chama Cha kisiasa wanaweza kutufanyia sisi wananchi endapo watapewa hatamu za kushika Dola na kuongoza Taifa hili,na siyo kuingia kwenye homa ya Islamophobia.
 
CHADEMA ni chama kilichokosa mwelekeo. Huyo Lema ni kama vile ana agenda ya siri kukiharibia chama chake kwa kauli zake za kishenzi dhidi ya makundi mbalimbali kwenye jamii. Bodaboda, kina mama na waislamu ni wahanga wa kauli za kuudhi za Lema. Ndugu THE BIG SHOW usijali.. hiki chama cha Mbowe tutakiadhibu kwenye sanduku la kura.
Nashukuru Mkuu Kwa pole yako,

Chadema hawajawahi kuonesha Rangi Yao halisi kwetu waislam,wako kwetu kimachale machale na kutaka kucheza na hisia zetu,they are trying to be emotional to us,hizo ni siasa za kifa.la sana wanafanya...

Wafanye siasa, wapinzani wao ni CCM,waache kabisa kututaja taja waislam Wala Uislam wapuuz wakubwa hao.
 
Alichosema Lema kina ukweli, Proff Asad, Zito Kabwe and the like ni taswira halisi ya alichosema akili kubwa Lema. Wakati wa JPM hawa walikuwa Mwiba ila sasa kwakuwa aliyepo wanaendana kiimani huwaskii hao wachumia tumbo. Kwa mantiki hiyo usemi wa Lema ni sahihi 100%
 
usiwalaumu waislamu wengi elimu na dini ndio imewaweka upofu wa ufikiri.
 
Alichosema Lema kina ukweli, Proff Asad, Zito Kabwe and the like ni taswira halisi ya alichosema akili kubwa Lema. Wakati wa JPM hawa walikuwa Mwiba ila sasa kwakuwa aliyepo wanaendana kiimani huwaskii hao wachumia tumbo. Kwa mantiki hiyo usemi wa Lema ni sahihi 100%
Basi mtavuna kauli ya Lema. Cha muhimu jiandaeni kulia mmeibiwa kura
 
Nashukuru Mkuu Kwa pole yako,

Chadema hawajawahi kuonesha Rangi Yao halisi kwetu waislam,wako kwetu kimachale machale na kutaka kucheza na hisia zetu,they are trying to be emotional to us,hizo ni siasa za kifa.la sana wanafanya...

Wafanye siasa, wapinzani wao ni CCM,waache kabisa kututaja taja waislam Wala Uislam wapuuz wakubwa hao.
Hata kanisa la KKKT majuzi lilishambuliwa sana na CHADEMA kisa hawamtaki Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa kama mtangulizi wake Askofu Shoo. Huyu Askofu Shoo alinunuliwa V8 la kifahari na kina Mbowe.
 
Friends and Our Enemies,

Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo.

Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye mtego wa kujiingiza kwenye Taharuki na uislam na waislam.

Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam ni kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi huyo wa chama.

Chadema kama chama kinapaswa kutuomba Radhi,na hususan huyo Lema kupitia hadhara hizo hizo anazozifanya anapaswa kuomba radhi umma wa waislam Kwa kauli zake za fedheha na dhihaka kwetu.

Tunafahamu ni kweli kuwa wapo viongozi wa dini ambao case Zao zilikua na mrengo wa kisiasa,lakini haiwezi kujustify Kwa chadema eti Kwa wao kuzipigia kelele kesi hizo na baadhi ya wale masheikh kuachiliwa basi igeuke kuwa ni nongwa au masemango ya kusema wao walitusaidia basi na sisi tugeuke kuwa watumwa Kwa msaada wao ule,Hilo haliwezekani.

No matter how long wamekaa au wangekaa jela wale masheikh haiondoi facts kwamba kama hawana au hawakuwa na hatia it was just a matter of time tuh kuwa wangeachiwa.

So chadema waangalie kauli zao kama chama na viongozi wao,waislam hatutaki watutaje taje kiholela kwenye mikutano Yao pasipo na sababu za msingi,wasisahau pia chadema chuki ambayo waliipanda Kwa waislam kipindi kile wanaanza choko choko juu ya suala la DP World,wajikite kwenye hoja za msingi ambazo wao kama chama Cha kisiasa wanaweza kutufanyia sisi wananchi endapo watapewa hatamu za kushika Dola na kuongoza Taifa hili,na siyo kuingia kwenye homa ya Islamophobia.
Wewe jamaa na yule bibi yako faiza, mlitakiwa kuishi Afghanstan huko na ndugu zenu Taliban.

Nadhani huku Bongo kunatufaa watu kama sisi ambao mara nyingi hatuchukulii kwa uzito mambo ya kipuuzi kama hayo yahusuyo dini.
 
The same applied Kwa wewe na Jamaa zako Chadema,mngepaswa muishi Vatican na yule babu yenu PAPA anaepropagate mambo yenu ya kipuuzi ya Sodomy...

Huku Bongo kunatufaa sisi ambao hata siku Moja hatuwezi kuingia kwenye mtego wa wanaume Kwa wanaume kupigana mashine...!!
 
Waislam wanajikuta watu special sana ndiyo maana sera za wachina nazielewa sana

Nataman sana CHINA iwe super power ituondolee huu ugoro

Yes ofcoz we are very special...

Uislam ni dini pekee ambayo hakuna yoyote mwenye kuamrisha chochote na tukatii isipokuwa Allah pekee na Mtume wake Muhammad Rehma na Amani ziwe juu yake.

Tuje kwenu Sasa makafiri,mzungu mmoja zee zee hivi limelewa zake wanzuki wa kiitaliano huko anakuja kuwapa amri nyote muwe mashoga na wote mnatiii unaionaje hiyo muimba kwaya.
 
Hiyo kauli ya Lema niliisoma vizuri kule X. Alikuwa sahihi kwa zaidi ya asilimia mia moja.

Kimsingi alichokisema Lema kinakuhusu wewe na wajinga wenzio, ambao mmezoea akiwepo kiongozi wa imani yenu ikulu, huwa hamumpingi kwa jambo lolote, nyie mtasimama nae tu hata kwenye ujinga wake.

Miongoni mwenu ni wewe, The Boss faiza foxy na wajinga wengine....

Lema akaenda mbali na kuwauliza, mbona wale mashekh ambao yeye alikuwa akipiga kelele waachiwe huru, waliwekwa ndani na muislamu mwenzenu?

Amsheni akili zenu msitumike kama watoto wadogo, taifa haliwezi kujengwa kwa kuukumbatia ujinga wa "mwenzenu katika imani".

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Hata kanisa la KKKT majuzi lilishambuliwa sana na CHADEMA kisa hawamtaki Askofu mkuu Malasusa ambaye kagoma kutumika kisiasa kama mtangulizi wake Askofu Shoo. Huyu Askofu Shoo alinunuliwa V8 la kifahari na kina Mbowe.
Ni kweli kabisa,Hilo lipo wazi naona na Sasa wanataka kuhamia na kwetu
 
Yes ofcoz we are very special...

Uislam ni dini pekee ambayo hakuna yoyote mwenye kuamrisha chochote na tukatii isipokuwa Allah pekee na Mtume wake Muhammad Rehma na Amani ziwe juu yake.

Tuje kwenu Sasa makafiri,mzungu mmoja zee zee hivi limelewa zake wanzuki wa kiitaliano huko anakuja kuwapa amri nyote muwe mashoga na wote mnatiii unaionaje hiyo muimba kwaya.
Waislamu walikuwa Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco Juzi wakiongozwa na alhaj Bashe na Ustaadh Rostam Aziz

Wamebarikiwa!
 
Friends and Our Enemies,

Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo.

Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye mtego wa kujiingiza kwenye Taharuki na uislam na waislam.

Kauli ya Lema kwenye mkutano wake wa hadhara alivyosema kwamba eti sisi waislam tusiingie kwenye mtego wa kumchagua MTU au chama eti kisa tuh kiongozi alieopo madarakani ni muislam ni kauli ya hovyo zaidi kuwahi kutolewa na kiongozi huyo wa chama.

Chadema kama chama kinapaswa kutuomba Radhi,na hususan huyo Lema kupitia hadhara hizo hizo anazozifanya anapaswa kuomba radhi umma wa waislam Kwa kauli zake za fedheha na dhihaka kwetu.

Tunafahamu ni kweli kuwa wapo viongozi wa dini ambao case Zao zilikua na mrengo wa kisiasa,lakini haiwezi kujustify Kwa chadema eti Kwa wao kuzipigia kelele kesi hizo na baadhi ya wale masheikh kuachiliwa basi igeuke kuwa ni nongwa au masemango ya kusema wao walitusaidia basi na sisi tugeuke kuwa watumwa Kwa msaada wao ule,Hilo haliwezekani.

No matter how long wamekaa au wangekaa jela wale masheikh haiondoi facts kwamba kama hawana au hawakuwa na hatia it was just a matter of time tuh kuwa wangeachiwa.

So chadema waangalie kauli zao kama chama na viongozi wao,waislam hatutaki watutaje taje kiholela kwenye mikutano Yao pasipo na sababu za msingi,wasisahau pia chadema chuki ambayo waliipanda Kwa waislam kipindi kile wanaanza choko choko juu ya suala la DP World,wajikite kwenye hoja za msingi ambazo wao kama chama Cha kisiasa wanaweza kutufanyia sisi wananchi endapo watapewa hatamu za kushika Dola na kuongoza Taifa hili,na siyo kuingia kwenye homa ya Islamophobia.
Waislamu kwa kulalamika na kujiona wateule wa Mungu hamjambo.

Ndo maana Myahudi kaamua kuwatwanga Magaidi na Vizazi vyao. Hivi kule mmeshakufa wangapi?
 
Back
Top Bottom