429 Shakahola forest death: Kenya security kushinda vita vya ugaidi dhidi ya Al shababu bado sana?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,168
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.

Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya kiakili zaidi
 
MUNGU apiganiwi kwa JIHADI na wala hana shida ya kupiganiwa kwa lolote na wala hana shida ya kukulazimisha wewe umjue na wala hana shida ya kukufanyia MAAJABU ili wewe ujue uwezo wake ama uhamini uwepo wake

Labda kwanza ungejifunza JIHADI ni nini na nani MUJAHIDINA
7bu hata MAGUFURI alikuwa anafanya JIHADI katika utawala wake
 
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.

Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikadhinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya kiakili zaidi
Shakahola na ugaidi wapi na wapi?
 
Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua.

Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya kiakili zaidi

Kenya hamna Intel. Waliopo wamelalia masikio wanaota ndoto.
 
Back
Top Bottom