wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2020 Ni kweli kabisa Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa wafanyakazi stahiki zao na mishahara minono

    Hata kwa makusanyo hayahaya ya Kodi inayokusanywa mwaka huuhuu wa 2020. Serikali ya Lissu inaweza kuwalipa vizuri watumishi,wastaafu na hata mikopo yenye riba nafuu kwa wanafunzi na kuwapunguzia mizigo ya ada wazazi. ITAWEZAJE Serikali ya Lissu haitakua na matumizi ya hovyo,ya kijinga na...
  2. T

    Nawafananisha Wafanyakazi na Wajumbe fulani hivi

    Yaani kuanzia zoezi la Uchaguzi limeanza nimekuwa nikiwahoji wafanyakazi kijanja janja kujua kama watampigia kura nani - kuanzia Urais hadi udiwani. Kwa wafanyakazi kama 35 ambao nimewahoji kata ya Idukilo kwa kweli wanagugumia moyoni na kichini chini tu. Wote kwa URais kwa kweli wamekichoka...
  3. T

    Walipeni wafanyakazi wenu wa ndani vizuri ona huyu alivyofanyiwa na house boy wake

    ZAMBIA- A Lusaka man has reportedly snatched his Chinese boss’ wife as payback for non-payment of salary in due time. The man who was angry over the delaying of his salary by the Chinese boss decided to pay his boss back by snatching his wife. The man shared a photo of himself and the wife of...
  4. V

    Kuna haja ya baadhi ya wafanyakazi wa idara kwenye Makampuni Binafsi ziwe na wafanyakazi wa Serikalini

    Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu. Baada ya kuona jitihada kubwa za Serikali kusimamia mapato na kukusanya kodi ikiwa ni pamoja na kutambua mchango wa wafanyakazi kutoka Sekta Binafsi na zile za umma, sasa ni muda muafaka awamu hii pia ijaribu kufikiria kama itafaa kufanya hivi: Makampuni...
  5. GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5 Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
  6. S

    GE2020 CHADEMA kwa sera hii, mtakomba kura zote za wafanyakazi wa nchi hii, na haya ndio maneno tunayotaka kuyasikia yatayomuangusha Magufuli na CCM yake

    Ushauri wangu:CHADEMA waandae na wasambaze kwa wingi vipeperushi vyenye sera hizi kuanzia kwenye madaladala,mabasi ya mikoani,sokoni,kwenye mabaa, na sehemu nyingine zozote zile zenye mikusanyiko ya watu wakati wa kampeni ukifika. Msisahau pia swala la kupunguza PAYE pamoja na swala la...
  7. Jinsi wafanyakazi tunavyoingia kwenye wimbi la umaskini

    Habari wakuu! Hii mada haiwahusu tu watumishi wa umma bali wafanyakazi karibu wote walioajiriwa kwa masharti ya kudumu Tanzania 1. Hatua ya kwanza: Mtu anakuwa amebeba maono makubwa . Hapa wapo wanaowaza wakipata kazi ndoto zao za kumiliki kampuni, shule au biashara kubwa zitatiki kwani tayari...
  8. M

    Wafanyakazi wa Impala Group of Hotels/Companies washinda kesi dhidi ya Management ya Hotel/late Mrema

    Impala Group of Companies/Hotel ni Muunganiko wa Impala Hotel, Naura Springs Hotels, Classic Tours, Ngurdoto Mountain Lodge, Moshi Hotel, Impala Shuttle, na Ngurdoto Shuttle. Kama Mtakumbuka, kipindi cha miezi ya nyuma, kuliriportiwa migogoro ya Management ya Impala Kushindwa kulipa wafanyakazi...
  9. Hili la wafanyakazi tu likitumika vizuri yeyote anaweza kuvuna points tatu

    Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja, Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini! Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi...
  10. Wafanyakazi 650 wafyekwa Kenya Airways (KQ)

    Hatari sana.
  11. T

    Wanataka kuufuta Mfuko wa wafanyakazi wa WFC, hivi Serikali haioni hata aibu?

    Wewe ni Waziri mzuri ndiyo. Unajitahidi kufanya kazi zako vizuri - hulali usiku na mchana ndiyo maana ukafanikiwa hadi kuifukuza corona. nchini mwetu. Uko vizuri sana. Mwanzoni mwa juma lililopita Tarehe 21 Julai 2020 baba mdogo wangu anayefanya kazi mgodini akawa ananipiga stori kuwa Serikali...
  12. F

    Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

    Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je, ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
  13. T

    Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ametangaza kua serikali ya nchi hiyo itawawekea vikwazo vya kusafiri wafanyakazi wa makampuni ya Kichina ikiwemo Huawei. Pompeo amesema watawawekea vikwazo na kuwapiga marufuku wafanyakazi wa makampuni ya Kichina wasisafiri hivyo kuathiri kabisa...
  14. Baadhi ya Wafanyakazi kwenye ofisi za TRA Kibo (Tegeta Branch) wana lugha chafu sana

    Jana nilikwenda kulipa kodi za biashara za Wazazi wangu ili kupata clearance na leseni kwenye ofisi niliyoitaja ila nilichokutana nacho kilinifedhehesha sana. Niweke wazi kuwa ofisi hiyo ina wahudumu wazuri sana na wanaosali wateja ila huyu Dada niliyekutana naye alinikera sana kwa lugha yake...
  15. TAKUKURU yawashikilia Wafanyakazi 30 wa Bohari ya Madawa (MSD) na Mmoja wa Wizara ya Afya kwa Ubadhilifu wa Mil. 54

    Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mwanza, Emmanuel Stenga TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inawashikilia wafanyakazi 30 wa Bohari ya Dawa (MSD) Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za ubadhirifu wa dawa na vifaa tiba zenye thamani ya zaidi ya Sh. 254 milioni. Mbali na wafanyakazi hao, pia kuna...
  16. T

    Zitto ukifumua bajeti hii januari kumbuka na hili la wafanyakazi

    Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo. Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
  17. Sekula mpya ya uchangiaji huduma za Bima ya Afya ni Mwiba kwa wafanyakazi

    Bila shaka kama mkakati wa kuongeza mapato ya serikali, bila kujali athari kwa wafanyakazi, hasa wastaafu, serikali ya Rais Magufuli imekuja na "uboreshaji" wauchangiaji huduma za Afya kwa njia ya Bima. Wafanyakazi wa serikali na mashirika yake, kwa mujibu wa sheria, hukatwa michango ya...
  18. Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

    Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
  19. R

    Kutoka alama 'Jembe na Nyundo' hadi kuwa alama ya 'Jiwe'"

    Habani wana JF Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii! Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…