Wafanyakazi wa Impala Group of Hotels/Companies washinda kesi dhidi ya Management ya Hotel/late Mrema

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,863
2,000
Impala Group of Companies/Hotel ni Muunganiko wa Impala Hotel, Naura Springs Hotels, Classic Tours, Ngurdoto Mountain Lodge, Moshi Hotel, Impala Shuttle, na Ngurdoto Shuttle.

Kama Mtakumbuka, kipindi cha miezi ya nyuma, kuliriportiwa migogoro ya Management ya Impala Kushindwa kulipa wafanyakazi mishahara, hali iliyopelekea mpaka Naibu Waziri wa Kazi, Mh. Mavunde kuingilia Kati. Mgogoro umekuwepo kipindi kirefu hata kabla ya Janga la Corona.

Sasa Juzi, Mahakama Kuu ya Kazi Kanda ya Arusha imeamua wafanyakazi wote walipwe ndani ya siku 14. Vinginevyo, wakishindwa kulipa, mali zitauzwa ikiwepo Majengo ya iliyokuwa Dispensary ya KILTEX, etc.

Reference ya Hizo kesi na migogoro iko hapa: Familia ya bilionea Mrema yasambaratika, mali zapotea ovyo

Kilio cha wafanyakazi wa Impala Hotel na Naura springs chatua kwa Rais Magufuli na TAKUKURU

Hii ni JOAN Mrema, -https://www.jamiiforums.com/threads/arumeru-wafanyakazi-wa-hotel-ya-ngurdoto-waandamana-kwa-dc-wakidai-mishahara.1698479/#post-34621226

ARUSHA: Wafanyakazi Hotel za Impala na Naura waandamana tena kwa Mkuu wa Wilaya, walia njaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom