Hili la wafanyakazi tu likitumika vizuri yeyote anaweza kuvuna points tatu

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,736
5,944
Pamoja na kwamba wafanyakazi wote nchi hii walioajiriwa serikalini hawafiki millioni moja,

Lakini ni ukweli usiopingika kuwa Kila ukoo, au pengine Kila familia kuna mfanyakazi, Ama tuseme Kila mtu Ana ndugu yake aliyeajiriwa serikalini!

Awamu hii pengine ndio ambayo maisha ya wafanyakazi yamekuwa hivi yalivyo. Ni mwaka wa 6 huu walioajiriwa 2014 hawajapanda madaraja...

Ni mwaka wa 5 huu hakuna hata Ile nyongeza ya kawaida ya mwaka...

Bila Shaka hakuna mtu asiyejua hii na pengine mioyo ya wafanyakazi ingekuwa kioo. Kuna watu wasingetembea "kifua mbele"

Narudia kusema Kuna points tatu hapa za bure zinasubiri..
 
Hakuna Mtumishi wa Umma wa Nchi hii mwenye akili timamu kichwani anaweza kupanga foleni siku ya uchaguzi na kumpigia kura Magufuli.

Kwa lipi hasa alilowafanyia Wafanyakazi wa Nchi hii tangu alipoingia madarakani mwaka 2015? Bora nimchague Hashimu Rungwe maana ahadi zake zinaeleweka, ila siyo Magufuli.
 
Kumpa kura Magufuli October 28 ni matumizi mabaya ya akili.
Am sorry
 
Wafanyakazi ni wa serikali ni wajinga na wapumbavu,usitegemee wafanye maamuzi sahihi
 
Wafanyakazi wa umma ni wajinga kwani waalimu huwaoni wanavyotumika
Hakuna Mtumishi wa Umma wa Nchi hii mwenye akili timamu kichwani anaweza kupanga foleni siku ya uchaguzi na kumpigia kura Magufuli.

Kwa lipi hasa alilowafanyia Wafanyakazi wa Nchi hii tangu alipoingia madarakani mwaka 2015? Bora nimchague Hashimu Rungwe maana ahadi zake zinaeleweka, ila siyo Magufuli.
 
unaamini hii Serikali inayopenda kujisifu kila kukicha iongeze mishahara kimya kimya!? Inaficha nini hata waamue iwe siri?
Kuna bro wangu yuko sector fulani waliongezewa. Nadhani waliangalia zile sector muhimu.
 
Back
Top Bottom