wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo yenye huduma bora za Mifuko ya hifadhi ya jamii endelevu, na yenye maslahi kwa wafanyakazi!

    UTANGULIZI -Hifadhi ya mifuko ya jamii nchini Tanzania inajumuisha mifuko kadhaa ambayo inatoa huduma za kijamii na ya kifedha kwa wanachama wake. Mifuko hii inatoa huduma kama vile pensheni, bima ya afya, mikopo ya elimu na makazi, na msaada kwa wastaafu. Kusudi lao ni kuhakikisha usalama wa...
  2. Logikos

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Wafanyakazi Vimekufa wala Havitafufuka....

    Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno tena. Swali linakuja ni vipi Vyama hivi vinaweza kuadapt ? Je ifike wakati badala ya kuwa na Vyama vya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika Sekta ya Madini

    Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo na utajiri wa madini, tanzanite, dhahabu, rubi, fedha (silver), chuma, almasi, na nikeli. Hoja hii inagonga vichwa tuishie kuorodhesha utajiri tulionao au utumike kwa maslahi mapana, ili keki ya taifa iwafikie watanzania wote. Madini ya Tanzania...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Swali: Je hiyo 40% ya kikokotoo ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji?

    Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufahamu ndoto na kipaji cha mtoto inasaidia kujenga wafanyakazi mahiri wa kesho

    Hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi ambayo ipo kwenye damu yako, uipendayo kwa muda mrefu. Kwa nchi za wenzetu zilizoendelea ni kwamba mtoto huwa mtu huwa anaandaliwa kuwa mfanyakazi fulani tangu kipindi akiwa mdogo, ambapo wazazi huwa wanatazama mwenendo wa mtoto katika michezo ambayo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Inawezekana ajira zikawepo, kwa sababu uhitaji upo wa wafanyakazi. Lakini hamna wanao ajiriwa

    Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali. Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi uzoefu au kuongeza maarifa kwa walichosomea/ taaluma yao. Kwa sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mgawanyo Bora wa Madaraka na Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma

    Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa wafanyakazi wa umma. Wakati wabunge wakipokea mishahara mikubwa, watumishi muhimu kama walimu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Idadi wafanyakazi wachina barani Afrika yapungua, wenyeji waliopata mafunzo wachukua nafasi zaidi

    Katika siku za hivi karibuni takwimu kutoka Idara ya utafiti wa mambo ya China na Afrika (CARI) katika Chuo Kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani, zilionesha kuwa idadi ya wafanyakazi wachina barani Afrika imepungua kwa zaidi ya nusu ikilinganishwa na mwaka 2015 ilipofika kilele, tangu takwimu...
  9. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa?

    Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki mkubwa (sijui bei yake) ingependeza kama kuna watu wanafanya biashara waje watoe uzoefu wao.
  10. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu. Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa SGR (Lot 3,4,5,6) tumerudishwa nyumbani na hawajaingiza michango ya NSSF kwa Miezi 14

    Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4. Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wafanyakazi waanza Mgomo wa Kitaifa kudai nyongeza ya Kima cha Chini cha Mshahara kutoka Tsh. 58,400 hadi Tsh. 962,865

    NIGERIA: Wafanyakazi wa Taasisi za Umma na Binafsi wameanza Mgomo wa Kitaifa usio na kikomo nchini humo wakidai maboresho ya Maslahi ya Kazi ikiwemo nyongeza ya Mishahara Mgomo huo unfautia kukosekana kwa muafaka wa Mazungumzo kati ya Chama cha Wafanyakazi (NLC), Umoja wa Wafanyakazi (TUC) na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Umasikini kwa Wafanyakazi sio Mishahara midogo bali ni Ukosefu wa Elimu ya Kifedha

    Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira akipata 10millioni akiwa mtaani anaweza kuikuza na kuwa tajiri kuliko wewe. Ila wewe unaweza kupata mkopo...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa Samia, Harmonize ni muhimu kuliko Wafanyakazi na Mei Mosi!

    Wafanyakazi wote mtulize akili zenu sasa kuelekea 2025. Mkituliza akili mtatambua kwamba kwa Rais Samia Mwanamziki Hamonaiza ni muhimu sana kuliko nyie na shida zenu. Ndio maana Rais alituma watu kuja kuwasikiliza. Tena kwa dharau zaidi ikaonekana mtumbuizwe na Wadudu 😀😀😀 Ndio maana hata katika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  16. Kidaya

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Kutokana na ukuaji wa miji na majiji, wafanyakazi wengi wanaishi (kujenga makazi au kupanga) maeneo ya mbali kidogo (zaidi ya kilomita kumi) kutoka maeneo wanayofanyia kazi hali inayowalazimu uhitaji wa usafiri wa kwenda kazini na kurudi nyumbani. Kwa mfano katika jiji la Mwanza, wafanyakazi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Bajeti 2024/2025 serikali itoe ajira rasmi kwa wafanyakazi wa JKCI-Dar Group

    Ni muda sasa umepita tokea serikali kurudisha umiliki wa hospital ya Dar group na kuwa chini ya Jkci ingawa awali ilitegemewa baada ya serikali kuchukua rasimali zote za hospital hiyo ikiwemo majengo ,vifaa tiba na fedha ktk account ilitarajiwa kutoa ajira rasmi kwa rasilimali watu (watumishi...
  18. Molleli

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wafanyakazi wanapenda kutoa 'last seen' za WhatsApp na kubaki jina pekee?

    Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  20. copyright

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mh Rais hakutokea kwenye sherehe za siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)

    Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti tofauti sasa leo nimeamua kuja mbele yenu wanajukwaa mnisaidie hili. Nimetonywa hapa kuwa katiba...
Back
Top Bottom