Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

Pridah

JF-Expert Member
Jul 20, 2023
523
1,919
Hellow.

Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.

Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.

Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.

Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.

Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.

Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.

Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.

Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.

Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi.

.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.

Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.

Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema, yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.

Nikajifanya, shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.

Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.

Good evening.
 
Namshukuru Bosi Wangu wa Kihindi Vijay Kumar Rao alias Victor Joseph kwa kunifundisha Kuridhika na Mshahara.

Watanzania Wengi hawaridhiki na Mshahara na hivyo hutafuta mbinu ya kumuibia muajiri bila kujua wanajiibia maisha Yao ya baadae.

Watanzania tuache kuwaibia waajiri/wawekezaji. Ukisaini mkataba wa makubaliano, Ridhika na Mshahara. Ukiona Mshahara haukutoshi tafuta Kazi nyingine.

Tunajiaibisha na kusababisha tusiajirike.
 
Mr Vijay alikufundishaje kuridhika mkuu?
Mshahara Ninaolipwa Ni Kutokana na makubaliano ya majukumu ninayoyafanya na niliyoyakubali mwenyewe. Nikimuibia namtia hasara hivyo biashara haikui na uwezo wake wa kuajiri/kulipa mishahara utapungua. Nikikamatwa pia nafukuzwa kazi kwa aibu kubwa.

Mwisho Kabisa Wizi kwa Mwajiri ni Dhambi na Laana.

Vijay Kumar Rao alias Victor Joseph ni Mkristo Mkatoliki kutoka India.
 
Mkuu Mleta mada jisafishe, ukiona unaibiwa sana tena bila kificho ni dalili una tatizo.

Usijifariji Hao muda si mrefu watarudia au na wao wameshakubadilishia mbinu.

Alafu ni kweli kuna namna mtu hata kama alikuwa na Nia ya kukuibis anaghairi.

Kuibiwa ni matokeo ya kutoheshimika, kutoogopwa Chukua mfano Kwa Rais aliyelala utanielewa...

Na hayo yanakuja baada ya uchafu wa mwili usijifariji mkuu...
 
Hellow.

Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara.

Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu.

Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo ili iwe mfano kwa wengine,nishakata sana mishahara,nishafukuza sana ila bado hawa watu wanaiba tu.

Kilichoniokoa nisiibiwe ni kitu cha kijinga sana aisee. "USHIRIKINA' ndo ulioniokoa.

Mimi siamini katika uchawi wala majini.Sijawahi kwenda wala sitawahi kwenda kufanyiwa ndumba na kimtu nilichokizidi elimu.Uchawi na ushirikina ni sehemu ya ujinga wetu waafrika.Ni hadithi za kufikirika havifanyi kazi ila wafanyakazi wangu wanaamini sana katika uchawi.Wenyewe wanaamini kuwa wananilogaga nisiwafukuze kazi no mara what zey do😂😁 ila nafukuzaga siku yeyote nionapo mtu huyu hana maslahi yeyote kwangu.Wananichota hadi nyayo ila siku nikiamua unaondoka ni unaondoka.

Baada ya kuona ushirikina ni kitu wanachokiamini sana nikapata idea, nikakutana na shoga yangu mmoja nikamueleza wazo langu akacheka sana halafu akasema hii inaweza kufanya kazi.

Tuka rehersal pale halafu tukaachana then baadae akaja moja ya ofisi yangu akijifanya alikua anapita zake tu akaona aingie anipe hi.

Basi tukajifanya hatujaonana siku nyingi then akajifanya kuniuliza vipi biashara inaendaje.
Mimi nikamjibu biashara inaenda vizuri ila tatizo wafanyakazi wananiibia sana.Akasema kwani si una camera hapa nikamwambia umeme ukikatika hazifanyi kazi.

Kumbuka tulichagua kukaa karibu ya alipokua amekaa mmoja wa staffs ili asikie tunachoongea akawahadithie wenzie ila tulikua tunajifanya hatutaki asikie tukawa kama tunaongea kwa kunong'ona hivi .

.Alipoona tunanong'ona akatega masikio vizuri ila akawa anajifanya yuko busy na simu yake.

Sasa tulipohakikisha anasikia shoga angu akaanza kusema"Ujue kama wanakuibia ndio vizuri?Nitakupeleka kwa mtaalamu fulani hivi wafanyabiashara wengi wanaenda kwake kuwageuza wafanyakaz wao chuma ulete ila sharti huyo mfanyakazi awe anakuibia ndo dawa itafanya kazi.

Mimi nikajifanya kushangaa pale then shoga yangu akasema,yaani ukifanyiwa hiyo dawa mtu yeyote akikuibia anakua kama kala kiapo cha kukuuzia nyota yake so kila anachopata kinakuja kwako.Hata ukimlipa mshahara utarudi kwako kimazingara hivyo atashangaa anapata mshahara plus kukuibia ila miaka itaenda hana cha maana anachofanya na hata akiacha kazi huko anakoenda bado atakua chuma ulete wako tu.

Nikajifanya,shogaangu kwa nilivyochoka kuibiwa,kesho naomba unipeleke kwa huyo mtu.

Hiyo ilikua Nov. last year.Tokea siku hiyo, mapato yangu yameongezeka.

Good evening.
Peleka Facebook
 
Mshahara Ninaolipwa Ni Kutokana na makubaliano ya majukumu ninayoyafanya na niliyoyakubali mwenyewe. Nikimuibia namtia hasara hivyo biashara haikui na uwezo wake wa kuajiri/kulipa mishahara utapungua. Nikikamatwa pia nafukuzwa kazi kwa aibu kubwa.

Mwisho Kabisa Wizi kwa Mwajiri ni Dhambi na Laana.

Vijay Kumar Rao alias Victor Joseph ni Mkristo Mkatoliki kutoka India.
Ni waafrika wachache wanaweza kuelewa hivyo mkuu.
Wengi wanahisi hata wakiiba haziwez kuisha biashara ife mkose wote
 
Mkuu Mleta mada jisafishe, ukiona unaibiwa sana tena bila kificho ni dalili una tatizo.

Usijifariji Hao muda si mrefu watarudia au na wao wameshakubadilishia mbinu.

Alafu ni kweli kuna namna mtu hata kama alikuwa na Nia ya kukuibis anaghairi.

Kuibiwa ni matokeo ya kutoheshimika, kutoogopwa Chukua mfano Kwa Rais aliyelala utanielewa...

Na hayo yanakuja baada ya uchafu wa mwili usijifariji mkuu...
Sijakuelwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom