Israel anapata wapi hiki kiburi? Ameweka rekodi ya kuuwa wafanyakazi wengi zaidi wa UN na waandishi

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
IMG_20231224_120458.jpg

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
 
View attachment 2851446

US ndio baba wa dunia
 
Israel wanajiita wateule wa Mola. Maswala ya binadamu wengine hayawahusu.
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Siyo kwa kiburi Umoja wa Mataifa uwasaidie Israel kutafuta magaidi ya Gaza na yakamatwe ili sheria ifuate mkondo wake.Bila hivyo mimi nawaunga mkono Israel asilimia 100%
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini
Hamas waondoke kwenye makazi ya watu waache kujificha,sehemu za raia na kutafuta huruma ya dunia
 
Nadhani umoja wa mataifa ungewataka Hamas wajitenge na raia, watoke mstari wa mbele ili wazichape. Kitendo cha wao kujichanganya na raia kuna ifanya hii vita kuwa ngumu sana sababu Israel wameapa hawataondoka Gaza mpka wahakikishe wamewafuta Hamas kwa usalama wa taifa lao na vizazi vyao vijavyo.
 
Israel ni sehemu ya Marekani.
Kila kinachofanyika hapo kina baraka la Marekani.
UN haina meno kung'ata taifa la Marekani.
 
Hao UN ni sehemu ya magaidi ya hamas
Hatukuona mahali popote UN ikicondemn mauaji yaliyofanywa na hamas october 7 acha wapate dozi akili ziwakae sawa
Halafu kwenye operesheni ya wazayuni dhid ya maeneo walikuwa hamas vimekutwa vitu vingi kuanzia tshirt,mabegi,vest za UN ambazo vilitumiwa na hao magaidi wa hamas
 
"I have condemned unequivocally the horrifying and unprecedented 7 October acts of terror by Hamas in Israel." United Nations Secretary General, Antonio Guterres.

View: https://twitter.com/SkyNews/status/1716823026690568227
 
View attachment 2851446

Israel inaishambulia makazi ya watu, inaua watoto, wanawake, wagonjwa, waandishi wa habari, na hata wafanyakazi wa umoja wa mataifa
Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa anasema kwamba tangu kuanzishwa kwa UN haijawahi kutokea wafanyakazi wake wengi kuuawa kwenye vita kama walivyouawa na Israel

Matamko na maazimio kibao ya umoja wa Mataifa yameitaka Israel kusitisha vita lakini imejibu kwa kiburi kuwa itaendelea na mauaji hayo hata Umoja wa Mataifa usema nini

kill hamas
 
Back
Top Bottom