wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi hivi Biblia bado haikusaidii kiroho kushinda wachawi na majini.

    Kuna makosa mengi watu wanafanya. 1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi. 2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii. UFANYE NINI SASA Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni jukumu la mitume, manabii, wachungaji na maaskofu kukemea Maovu hasa ya watawala

    Kwema Wakuu! Nikishasikia kiongozi wa kisiasa hataki viongozi wa dini wakemee Maovu hasa ya haohao watawala na kuingiza neno isichanganywe dini na Siasa, hapo napatwa na harufu ya uovu. Hakuna haja ya uwepo wa dini ikiwa manabii, mitume, maaskofu, wachungaji na wote wanaohudumu kwenye...
  4. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  5. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  6. Mzee Saliboko

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi huonesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

    Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao? Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
  7. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Leo nimewaelewa Mchungaji Msigwa na Lema Baada ya Pastor Ezekiel kudai Kanisa lisipofunguliwa atakosa Tsh 400 Milioni za Sadaka

    Lema ambaye ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema aliwaonya Wananchi kuhusu Fedha wanazopeleka kwa manabii. Mchungaji Msigwa naye akasema Baadhi ya wachungajj hugeuza makanisa yao kuwa vitega Uchumi hivyo Serikali iwachunguze na kuwachuja. Leo huko Kenya ambako Mchungaji Msigwa alikuwepo juzikati...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Angola: Wachungaji wakamatwa kwa kuvaa sare za jeshi

    Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi. Msemaji wa SIC, Manuel Halaiwa amenukuliwa akisema wawili hao watashtakiwa kwa matumizi haramu ya sare za...
  10. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa Upendo TV kumuiga Mwakasege

    Sijui kama ni mimi tu, hivi kuna tatizo gani kila mhubiri anayehubiri upendo TV, awe Mchaga, Mhaya, Mndengereko, Msukuma au mnyakusa nakadhalika, anaiga sauti ya Mwakasege? au ndio wanaamini kuhubiri ni kutumia sauti ya Mwakasege? Yule mwenzenu ile sauti ni ya kinyakyusa, pamoja na kuishi...
  11. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Uongo wa wachungaji wa Kanisa

    Habari za muda huu Wana JF Kuna kipindi nilikuwa Arusha baada ya mihangaiko ya maisha Kuna siku moja, nilikuwa matembezi ili niujue mji wa Arusha vzuri ilikuwa Mara ya Kwanza kufika. Wakati nipo kwenye mizunguko nilipita mitaa flani siikumbuki vizuri jina lake.kuna kanisa la walokole mchungaji...
  12. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Kwanini waamini wanazidi kukonda na wachungaji wananenepeana tu halafu hawatoagi sadaka wakati wana pesa mpaka?

    Huwa najiuliza sana hili swali ndo mana nimeamua kuwa mpagani au nafikiri a kuwa muislamu. Kwa Nini mapadre hawatoagi sadaka wakati mitumbo Yao inazidi kujaa i.e vitambi na wengi wao wamejenga nyumba mpaka wamewajengea michepuko Yao. Huu nao ni ukoloni mambo Leo kanisani yaani waamini...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Anglikana kutozika wasiohudhuria Ibada na Jumuiya

    Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es Salaam limeweka msimamo kuhusu utoaji huduma za kiroho kwa waumini wake, ambapo kuanzia sasa watakaohudumiwa ni wale wanaoshiriki ibada za jumuiya na kanisani. Hayo yamebainishwa leo Jumamosi Februari 11, 2023 wakati wa kikao cha Achidikonary ya Kibaha...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachungaji kumpigia Kura Mch. Dkt. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama kuwa Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani

    Iwapo Askofu wa Dayosisi hupatikana kwa wachungaji wote wa Dayosisi kupiga Kura, basi kuna uwezekano mkubwa Malasusa akistaafu, Kura zikamwangukia Rev. Dr Eliona Kimaro kuupata Nafasi ya kuwa Baba Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Iwapo wachungaji watajipanga vizuri watakuwa...
  15. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Malasusa anamchukia Mchungaji Kimaro?

    Nimeona mahubiri Ya Askofu Malasusa akiwashambulia watumishi wa Mungu ambao kwa madai yake yeye, waanaminiwa sana na waumini wao. Askofu Malasusa anadai wachungaji hao wanaamini sana na watu kuliko Yesu. Mahubiri haya yanayoonesha chuki ya Askofu Malasusa kwa watu kama Kimaro (wengine kama...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wachungaji wanajifanya wanajua kila kitu?

    Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
  17. kidonto

    JamiiForums Tanzania Nina swali kwenu Wachungaji wenye ujuzi na Biblia (Imani)

    Shalom! Nataka tu kujifunza na kuongeza Imani yangu! Nimekua nikishuhudia Watu wengi wakifunguliwa Makanisani kwa Macho yangu! Nimeshuhudia Baadhi ya watu wakifunguliwa kwa namna tofauti, katika kisa kimoja, mwanaume wa Makamo alikua Mgonjwa akiamini Kalogwa, alihangaika kutafuta Tiba toka kwa...
  18. KANYEGELO

    JamiiForums Tanzania Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Wakuu habarini Mimi ni muumini wa kanisa la mahali pamoja ambalo ni T.A.G(X) Jana nimepokea ujumbe wa kunikwaza kunifedhehesha na kunifanya nione kama natwaga maji kwenye kitu Jana mchungaji kanitumia msg akiniuliza mbona sijahudhuria jana kanisani? Au na mpango wa kuhama kanisa !! Nami...
  19. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Wachungaji hadi lini mtavunja ndoa za watu?

    Joseph Moses ambaye ni dereva bodaboda mkazi wa Mbeya anakabiliwa na shtaka la kumtishia kumuua kwa maneno mkewe Irene Mwaikana huku chanzo cha ugomvi huo ni tabia ya mkewe ya kutoa chakula nyumbani na kupeleka kwa mchungaji. “Mheshimiwa hakimu huyu mwanamke anakera sana, tukichinja kuku...
  20. msukule mzembe

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa kibongo wanazingua

    Juzi jumapili nikasema ngoja niende kanisani kwanza japo nikashiriki na watu katika ibada ya hapa na pale nikachukua kagari kangu ka ist kabovu nikatoka magetoni kipati mbagala hadi keko kanisa la universal. Ile kutimba ndani kanisanu muhuni sina hili wala lile nikatafuta siti nzuri ya mbele...
Back
Top Bottom