Baadhi ya maeneo Shinyanga wachungaji wa makanisa muende mkasimame kuombea wananchi wamwamini Mungu, kuliko wanaamini nguvu za giza uganga ushirikina.
Nisipoteze muda moja kwa moja kwenye maada,, baadhi ya maeneo[emoji116]
Nm'angu, Solwa, Salawe , Mwamashimba
Mimi nimehudhulia misiba baadhi...