Angola: Wachungaji wakamatwa kwa kuvaa sare za jeshi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,610
Wachungaji wawili wa dhehebu la kidini wamekamatwa na Maafisa wa Huduma ya Upelelezi wa Jinai (SIC) wakiwa wamevaa sare nyekundu zinazofanana na zile zinazovaliwa na Majenerali wa Jeshi.

Msemaji wa SIC, Manuel Halaiwa amenukuliwa akisema wawili hao watashtakiwa kwa matumizi haramu ya sare za kijeshi na kutekeleza shughuli haramu za kidini kwa sababu madhehebu yao hayajasajiliwa.

Hivi karibuni Serikali ilianzisha msako mkali kwenye makanisa ambayo hayajasajiliwa na yale yanayodai kufanya miujiza.
......

Angolan pastors arrested over illegal army uniforms
Two pastors of an Angolan religious sect, army of faith, have been arrested for allegedly donning replicas of Angolan Armed Forces uniforms, local media report.

Novo Jornal website reports that the two were arrested on Wednesday by officers from Criminal Investigation Service (SIC) "with red pins similar to the ones worn by army generals".

SIC spokesperson Manuel Halaiwa is quoted as saying the two will be charged with illegal use of military uniform and exercising illegal religious activities "because their sect is not registered".

It follows a viral video that showed the two pastors presiding over a ceremony attended by more than 80 youths - some of whom were dressed in replicas of army uniform.

The VOA recently reported that the government had launched a crackdown on unregistered churches and those that purport to perform miracles.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom