Wakuu,
Saivi kumeibuka mtindo (fasheni ) wa Hawa watumishi/manabii nk. Kuenda milimani, nimeshindwa kuelewa Huwa wanaenda kufanya Nini huko??
Na kwa maelezo ( kupitia tv/radio mbalimbali za masuala ya Imani ) wanakaa huko kuanzia wiki Moja mpaka mwezi, Kuna Siri Gani huko milimani??, na ni...
Pesa anayepaswa kusaidiwa ni maskini pekee.
Mtu ana range kali New model unampa pesa ili akuwekee mkono kichwani. Madness
Mtumie pesa mama yako, hakatai pesa kwakuwa ni ndogo, elfu 5, 10, 50, laki , millioni ukimtumia anafurahi na ombi lake la sekunde 30 mbele za Mungu juu yako lina nguvu...
Duniani kuna Wachungaji wa aina mbili, wema na wabaya
Wachungaji wema mara zote wanahubiri habari njema za Mungu, mara zote wanaeneza Upendo, Amani, Mshikamao na kupigania utulivu ndani ya mioyo ya Wanadamu wote
Wachungaji Wema sifa zao kubwa wanakuwa ni wasomi wa hali ya juu na wanaoendesha...
Wachungaji, mitume, manabii, walimu na Wainjilisti ambao ni viongozi wa makanisa ya kileo huu mstari wanauruka kama haeauoni.
Huu mstari unawahukumu, maana wanajikusanyia sadaka kisha kufungua maduka makubwa, kusomesha watoto wao nje ya nchi , wananunua range , v8 n.k huku waumini wakiambiwa...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Serikali ikiwa inasaini miakataba yake hasa hasa ya kifasidi ambayo wananchi hawajalizika nayo huwa wana watumia sana wachungaji
Lakini leo kwenye hili suala la maafa kariako naona serikali imewatenga wachungaji watumishi wa MUNGU
Watumishi wa MUNGU...
Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣
Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma na wale wanawake ebwana Dah 🤔
Wanawake kwa wachungaji na waganga hawafui dafu mwanangu...
Ndugu zangu
Ukweli upo wazi kwamba kipofu hawezi kumuongoza kipofu mwezake ila watadumbukia shimoni wakiongozana
Wanawake wengi wanaojiita mama wachungaji au wake wa wachungaji tunajua wazi kabisa huko nyumbani kuna mikikimikiki na wao wanapigania ndoa zao.
Sasa linapotokea swala la migogoro...
Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa.
Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
Salaam wakuu.
Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu.
Ahsante:
NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije...
Sasa kila sehemu wachungaji, manabii na watumishi wengine hasa Wakristo wako on fire kukemea vitendo vya utekaji na uuaji.
Hawa watumishi wako madhabahuni zaidi ya miaka 10.
Miili ya watu iliokotwa kwenye viroba wengi walikaa kimya.
Utekaji ulikithiri wengi walikaa kimya.
Eti leo wanajifanya...
Wazee wa Tanga hata msingefanya lolote Ila karma ingeshughulika nao hao watu .
Mwaka 2021 yule bwana aliyekuwa anataka kumuua Tundu lissu alipokea Malipo yake
Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum.
Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
nimeona Clip moja ya Mchungaji Mmoja akimpaka mafuta na kumuombea mali na kumuonyesha matatizo ya Mheshimiwa waziri mstaafu wa Mambo ya Ndani Mr X. katika clip hio Mchungaji anamuliza maswali haya
mchungaji - Anna unamjua
Mheshimiwa mstaafu- Namjua ni Mke wangu
Mchungaji - Ania unajuma...
WATUMISHI WA MUNGU ACHENI HUU UPUMBAVU NA UKENGEUFU!🔥🔥🔥
Mitume,manabii,wachungaji hili linawahusu.Mnakosea sana kuwatumia wanawake vibaya kinyume na maandiko.
Nabii Musa pamoja na miujiza yote aliyojaaliwa,alikuwa na mtumishi mmoja tu tena kijana wakiume,yaani Joshua.Nabii Eliya naye...
Shalom,
Tucheke kwanza
"Oalaa kalooo'
Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi
Tutaona...
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au kufanikisha mambo ambayo ni faida yake binafsi au mambo kama pesa ya Mwenge /ujenzi wa shule mambo...
Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha.
Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.