wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kabla sijawajua vizuri wachungaji nilikuwa nikishangaa kuona watoto wao wakiwa wahuni, baada ya kuwajua vizuri, nilielewa watoto wameritihi tabia

    Hapo zamani nilikuwa nikishangaa kumuona mtoto wa mchungaji ni mzinzi, tapeli, mwizi, muongo, mlevi, n.k. Lakini baada ya kuona wachungaji wengi hasa wenye makanisa yao wakitajirika na kuishi maisha ya anasa kwa sadaka za waumini, skendo za kutembea na waumini, kufeki miujiza, n.k. sikuona cha...
  2. Alibino

    JamiiForums Tanzania Kumleta wachungaji wafanya biashara kwenye ufunguzi wa kampeni ni dalili za kupotea

    Wana jamii hili suala la kumleta mchungaji janja janja kama Hananja ni dalili za kupotea na kutokujua unachofanya. Let be honest ivi kweli mtu unamleta mchungaji Hananja ndo aje kuombea ufunguzi wa kampeni au Mwamposa kweli iyo inaingia akilini? Hizi ni dalili za wazi Rais kapotea ndo maana...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wakristo huacha kuombewa na wachungaji na kwenda kwa kuombewa dua kwa Mashehe na wanafanikiwa kuondoa shida zao?

    Ni utafiti usiopingika sababu ni nini hasa? Uhaba kiimani au matokeo ya haraka?
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wake mngeheshimu na kuwapenda waume zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume ndoa zingekuwa na furaha sana, badilikeni

    Shalom wana wa Mungu, Sijui niongeze sauti… lakini kichwa cha habari kinajieleza. Wanandoa hasa wamama—badilikeni. Pendeni nyumba zenu kama mnavyopenda wachungaji, manabii na mitume. Maana mkiachika, mtasikia: “Huyo hakuwa wako, hakuwa kutoka kwa Mungu.” Lakini ukweli ni mawili tu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wachungaji wa kiume wamejikita kwenye Siasa na nafasi zao zinachukuliwa na Wachungaji wa Kike makanisani

    Natoa tu angalizo hasa kwa ndugu zetu wa KKKT na Anglican namba ya Wachungaji wa kike inaongezeka kwa kasi sana Sina hakika kama Ndivyo ilivyo kibiblia au la Ahsanteni sana 🙏🇮🇱
  6. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachungaji na manabii hawapendelei kutumia Twitter kusambaza kazi zao

    Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi. Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta X au twitter kwa na wao ni akili ndogo.
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuzoeana na machawa wa maaskofu na wachungaji na manabii utakufa maskini

    Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two Washampanga...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwanamke wako anamwita mchungaji wa kilokole "Daddy" kaa nae mbali, huwezi kumshauri wala kueleweka, ameshaamua nani anamwongoza

    Siku hizi imekuwa kawaida kabisa kuona wanawake wa kilokole wakipost picha za wachungaji wao kwenye status huku wakisema “DADDY” – yaani “Baba yangu.” Hawa wachungaji ni wale wa kilokole wanaosifika kwa miujiza ya kustaajabisha kama kuuza mafuta ya upako, keski za upako, kujaza gesi ya mtungi...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Manabii, mitume, maaskofu, wachungaji msikilizeni huyu mjue wajibu wenu kwenye siasa

    CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini! Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Huyu Pastor Kabigumila ni moja ya wachungaji wenye tabia za attention seeker

    Nimekuwa nikimfuatilia huyu anayejiita mtumishi nimeona ni wachungaji wenye tabia zote za wanasiasa uongo na unafiki mwingi alionao ndio unamfanya apambane ajenge njia yake ya kuingia siku moja kwenye mfumo kula pesa za serikali ni aina ya wachungaji wanaopenda attention za watu, anapenda...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wachungaji wanagoma kusalisha Misa kwa Waliokufa kwa Kujinyonga?

    Niwape pole sana wafiwa, naamini yanayotokea sio mapenzi yao kujinyonga bali Shetani. Nawaza tu, kwa nini Wachungaji wanagoma kusalisha Misa ya mfu aliyejinyonga? Na baada ya kugundua wamesalisha mtu aliyejinyonga kwa kufoji cheti cha kifo, huwa wanaombaga radhi madhabahuni?
  13. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini kilichangia Wachungaji kupigwa 9-2 na Mapadri?

    Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha . Kiukweli wachungaji walizidiwa sana ,wachambizi wa JF nini kilipelekea hiki kipigo cha 9-2 ...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ni kwel wachungaji wetu hawa wanatajirika na sadaka hizi hizi ama kuna mengine hatuyajui?

    Nikitumia mfano wa DALLE, kiujumla lifestlye yake tunaongelea mabilioni ya pesa, ila sasa ni kwel ni izi jero jero za wananchi mpaka billion ama kuna mengine https://www.tiktok.com/@kings_hot_riders/video/7418271723461676294
  16. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Wasabato na walokole Kwa aina zenu. Ni kwanini ni wachungaji pekee ndio wenye mamlaka ya kubatiza tofauti na agizo la yesu?

    Injili zote ukianza na mathayo na zingine zote yesu alitoa mamlaka Kwa wanafunzi wake akisema... Mathayo 28:19-20 (KJV) Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu; na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na...
  17. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  18. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  19. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Hakuna familia yenye laana acheni kudanganya watu nyie waganga,na wachungaji!

    Eti kanisa lina Andaa wiki ya kuikomboa familia kutoka katika vifungo. Wiz I mtupu
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hii ingependeza na huku bongo muuongozo huu utumike kwa manabii na wachungaji...

    Hii taarifa ingependeza hata huku kwetu bongo itumike kuwabaini...
Back
Top Bottom