wachungaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ya kutandika Biblia chini ili marehemu apite imekaaje, Mwenye uelewa na hili pitia hapa

    Sijapata jibu la moja kwa moja angalia hii clip ni fupi sana 00.42mins ukubwa wa 3.4mb so haiwezi kumaliza MB's zako.
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wachungaji mnaosema tukiwapa sadaka tutabarikiwa kuwa wateja wa kwenye ma Mall, mnajiona mko sawa?

    Mchungaji anasema toa upate baraka, utanyeshewa baraka za kukuinua, hutakua mtu wa magengeni tena, hutakua mtu wa kununua mitumba tena utanunua nguo kwenye ma shoping mall na mahitaji yako yatatoka supermarket. Hizi hela tulizonazo tungeamua kuwa watu wa manunuzi ya supermarket na shopping...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabunge wa Vyama vya Upinzani wasiwe na kinga ya kubaki Bungeni kama sisi watu wa Kanisa kwani tunafanana sana kwa mambo mengi?

    Kwa upande wa kanisa kunavituko vingi sana vya ajabu makanisani lakini hakuna mahara pa kusemea kwa sisi waumini labda kubadilisha kanisa lakini kwa wanasiasa na taifa kwa ujumla kila baada ya miaka 5 kuna sehemu ya kusemea hivi kwanini na hawa wanasiasa wa upinzani nao wapewe kinga kama ya...
  4. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Wanawake tuna nini lakini?

    Hi haijakawa sawa hata kidogo. Una masumbuko yako, unaamua kwenda kuombewa. Unamkuta mchungaji ofisini kwake, unalia, unamuelezea matatizo yako weeee. Gafla unaanguka miguuni pake namna hi... Halafu hicho kinguo kilivyo chepesi, kinaangaza, ndani hujavaa kitu. Mchungaji wa watu unamuweka...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wachungaji na walokole, tunagongewa sana wake zetu

    Shalom walokole wenzangu na wana JamiiForums wote kwa ujumla. Sisi walokole wengi tumekuwa kama manyumbu, Nadhani wengi mliona ile video iliyo leak ya baba askofu, ambayo baadae kitengo cha Forensic cha Polisi na UDOM vikatutonya kuwa eti sio video halisi ila fabricated. Askofu alipiga show...
Back
Top Bottom