wachaga

The Chaga (also called Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga) are Bantu-speaking indigenous Africans and the third largest ethnic group in Tanzania. They traditionally live on the southern and eastern slopes of Mount Kilimanjaro and Mount Meru and near Moshi. Their relative wealth comes from the favorable climate of the area and successful agricultural methods, which include extensive irrigation systems, terracing, and continuous organic fertilization methods practiced for thousands of years. They were one of the first tribes in the area to convert to Christianity. This may have given them an economic advantage over other ethnic groups, as they had better access to education and health care as Christians.
The Chaga descended from various Bantu groups who migrated from elsewhere in Africa to the foothills of Mount Kilimanjaro, a migration that began around the start of the eleventh century. While the Chaga are Bantu-speakers, their language has a number of dialects related to Kamba, which is spoken in southeast Kenya, and to other languages spoken in the east, such as Dabida and Pokomo.
The Chaga area is traditionally divided into a number of chiefdoms. They are culturally related to the Pare, Taveta, and Taita peoples. They follow a patrilineal system of descent and inheritance. Their way of life is based primarily on agriculture, using irrigation on terraced fields and oxen manure. Although bananas are their staple food, they also cultivate various crops, including yams, beans, and maize. In agricultural exports, they are best known for their Arabica coffee, which is exported to American and European markets, resulting in coffee being a primary cash crop.

View More On Wikipedia.org
  1. yuda75

    Wazazi wengi huwakataza watoto wao wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya. Nini Sababu?

    Habari wadau. Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi. Kwanini? Hebu tujadiliane, kama unafahamu chochote kuhusu makatazo haya funguka hapa tafadhali
  2. Artifact Collector

    Wachaga ni moja ya kabila lenye dialects nyingi Tanzania

    Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana Kirombo Kimarangu Ki-uru Kikibosho Kimachame Kisanya Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio Wachagga. Kimeru Kigweno Mfano: Msanya ni ngumu sana kumsema Mmeru, na Mmarangu ni ngumu...
  3. Valencia_UPV

    Wahaya kama Wachaga, tunarudi home Krismasi

    Kama ilivyo desturi ya ndugu zetu Wachaga nasi tumeanza kwenda home Bukoba city kipindi Cha mwisho wa mwaka (kwa njia mbalimbali hususani Ndege-Scheduled and chartered, private expensive cars na kidooogo mabasi). NB: Tunaendelea na mazungumzo na KLM na Emirates walete ndege direct Bukoba...
  4. Zanzibar-ASP

    Ripoti ya ziara yangu Kilimanjaro kuufunga mwaka 2020: Wachaga ni watu wa ajabu sana

    UTANGULIZI Kama nilivyoahidi hapa JF siku chache zilizopita kuwa nitakuja na ripoti kamili ya ziara yangu ya kutembea na kujifunza mkoani Kilimanjaro katika jamii ya kabila la Wachaga wakati wa kwenda kusheherekea sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Kila kitu kwa ufupi na ufasaha nitakiweka hapa...
  5. The Mongolian Savage

    Bamileke: Kabila la Cameroon linalopingwa nakuogopwa na makabila mengine; ndio hao wanataka Cameroon ijitenge

    Mzuka wanajamvi! Hii dhana ya eti Cameroon majimbo mawili yanayoongea kiingereza North West na South West kujitenga kwasababu ya uonevu inasukumwa sana na Bambekee (Bamilekee). Bambekee ni semi Bantuskabila maarufu sana Cameroon lenye maendeleo na elimu na pesa. Kwa kifupi ni matajari kama...
  6. Zanzibar-ASP

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    Mwaka huu niliamua kufanya tour trip huko Kilimanjaro ili kujifunza na kujionea shamrashamra za Wachaga wakisheherekea sikukuu ya Christmas. Mpaka sasa bado nipo Uchagani. Nimefanikiwa kufika maeneo ya Rombo, Mwika, Marangu, Old Moshi, Kibosho na Machame. Sijafanikiwa kufika maeneo ya Kirua...
  7. luambo makiadi

    Krismasi yapamba moto Kilimanjaro. Magari, treni, ndege zafurika abiria

    Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri
  8. sky soldier

    Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

    I hope mko poa majirani zetu. Nipo curious to know anything about hawa watu leo nmeambiwa kuna wengine wapo huo upande wenu, I was amazed, nlifkiri wapo tu tz. Dear neighbours, tuwekeeni mambo mawili matatu kuhusu hao watu kuanzia lifestyles zao, shughuli zao, wanasifika kwa mambo gani...
  9. Jokajeusi

    Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    Kwema wadau! Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...
  10. Superbug

    Sisi wapare tuna akili za darasani kuliko wachaga

    Nimefanya utafiti wangu nimegundua sisi wapare (vaathu) tunaakili Sana za darasani kuliko wachaga. Katika historia yangu ya elimu sijawahi kupitwa na mchaga kamwe. Pia sisi wapare ni Kati ya makabila top 3 waliosoma Sana Tanzania wengine ni wahaya na wanyakyusa. Pia inasemekana asili yetu ni...
  11. WilsonKaisary

    Wachagga na mila za kufukua maiti

    Je, umewahi kusikia kuwa wachaga pindi wapendwa wao wanapofariki basi baada ya muda fulani kupita huenda kufukua mabaki ya miili ya maiti wao kisha kuwahifadhi sehemu maalumu? Kwanza kabsa nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na makabila tofauti tofauti ambayo yametofautiana katika mila na desturi...
  12. U

    Kwanini wengi wanaosumbuliwa na ugonjwa wa Gout/Acute Gouty Arthritis ni Wachaga?

    Najua Sasa macho na masikio yote Ni Corona, nikaona Leo nizungumzie huu ugonjwa wa Gout, ambao nasikia Ni kukakamaa kwa joints na maymiv ya Sina flani ya misuli inayopelekea kushindwa kutembea vizuri na mikono pia kupata shida ya kukunjika. Wanasema ugonjwa huu unasababishwa na acid flani...
  13. bahati93

    Tahadhari kwa wachaga juu ya Coronavirus

    Tanzania ina makabila mengi yenye tamaduni tofauti. Katika kungamua hizi tofauti tamaduni za wachaga zinawafanya wanakuwa kwenye hatari kubwa kutokana na coronavirus. Tamaduni hizo ni kama ifuatavyo; KWENDA KIJIJINI. hii ndo risk kubwa watu kutoka mjini kupeleka corona vijijini KUWA NA NYUMBA...
  14. KIMAROO

    Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
Back
Top Bottom