Wachaga tupe siri na sisi wengine

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hellow africa

Wachaga mnatutia hasira sana hapa mjini inamaana sisi wengine hatujui kutafuta hela? Hapa mjini wachaga mna mandinga makali sana yaani ukijaribu kuuliza ili ili gari la mdosi gani unaambiwa mchaga huyo wa marangu 🙄🙄🙄

Nilikuwa moshi kipindi mwezi wa kumi na mbili magari yalikuwa mengi sana af magar ya hela nyingi
 
Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
 
Utajiri una Siri zake , either ziwe nzuri au mbaya.
 
Nilichogundua humu duniani, Ni ngumu mtu kukupa chimbo la sehemu wanakotafutia pesa , na hata akikwambia hatakufafanulia. Hii ndo inafanya matajiri wawe wachache humu duniani, mtu atakwambia Nina restaurant, lakini mbinu anayotumia kupata wateja hapo kwenye restaurant hawezi kwambia katu. So usitegemee hata hao wachaga kwamba watakuja hapa kumwaga madini.
Ni uninafsi tu unawasumbua
 
Mtaani kwetu kuna jamaa alikuwa na duka kubwa sana ndo kilikuwa kijiwe chetu usiku! Kabla jamaa hajafungua duka ilikuwa anaamka usiku na kumwagilia vitu fulani pale nje baadae akabadilisha muuzaji duka liliishia pale
Kwahiyo unataka kusema alikuwa mchawi
 
Back
Top Bottom