Wachaga Pitieni hapa (ndani Kuna mbege na kisusio)

Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,235
4,791
Matumaini yangu mu- wazima na mmeshaskia ukoo mmoja uchagani unaitwa mboro,walahi unanishangaza.

Kifupi ni hilo Jina,it never get old.

Kila nikiliskia redioni Kuna namna najiuliza maswali Mengi.

Juzi kati redio moja alikuwa Demu anatangaza matangazo ya vifo alivyotaja Hilo Jina alistuka kidogo afe na presha,I get it siku mlaumu sana yule manzi,japo alivyostuka ungedhani alikuwa bikra

Tatizo si huyo manzi kustuka ila nawawazia watoto wasasa na wajao wanaobeba legacy la jina Hilo kwenye vitambulisho vyao na jinsi linavyo waathiri kisaikolojia,na kimawasiliano

Inawezekana jina hilo lina chimbuko na maana nzuri kabisa.Ila Kwa Sasa ukisema mboro,lazima uume meno.

Najua Kuna majina magumu kuliko Hilo ila wachaga njooni hapa muwachagulie wenzetu jina jingine.
 
Kuna jamaa skuli jina la ubini ni Anas, aloo alikua anapata tabu sana majina yakiitwa.

Haya majina yanawapa tabu sana watoto wakiwa shule, hasa jina liwe na maana tofauto na jamii husika.
 
Back
Top Bottom