Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA.
Kwa wachaga naona wapo tofauti, watoto wanarudi mara kwa mara vijiji vya baba zao na kuzoeleka na ndugu wa baba, hii inawapa sifa ya kuwa WATOTO WA BABA
unakuta mtoto hajawahi kufika kabisa kijijini kwa baba yake, kujuana na ndugu upande wa baba ni mpaka waje mjini, Hata wale wanaopelekwa vijijini unakuta ni mara chache sana hawapati muda wa kuvijua vijiji vyao vizuri na kuzoeana na ndugu wa huko, watoto wanaenda msibani wanakuwa kama wageni mbele ya ndugu za baba zao.
Pia nachoona japo sina ushahidi naamini kwamba mtoto akiwa karibu zaidi na asili ya baba, inachangia kuleta mafanikio kuliko akiwa mtoto wa mama, mfano ni wahindi, waarabu, wasomali wanaoishi Tz na kwa makabila ya Tanzania wapo wachaga ambao kimaendeleo mbali ukilinganisha na makabila mengine.