wachaga

The Chaga (also called Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga) are Bantu-speaking indigenous Africans and the third largest ethnic group in Tanzania. They traditionally live on the southern and eastern slopes of Mount Kilimanjaro and Mount Meru and near Moshi. Their relative wealth comes from the favorable climate of the area and successful agricultural methods, which include extensive irrigation systems, terracing, and continuous organic fertilization methods practiced for thousands of years. They were one of the first tribes in the area to convert to Christianity. This may have given them an economic advantage over other ethnic groups, as they had better access to education and health care as Christians.
The Chaga descended from various Bantu groups who migrated from elsewhere in Africa to the foothills of Mount Kilimanjaro, a migration that began around the start of the eleventh century. While the Chaga are Bantu-speakers, their language has a number of dialects related to Kamba, which is spoken in southeast Kenya, and to other languages spoken in the east, such as Dabida and Pokomo.
The Chaga area is traditionally divided into a number of chiefdoms. They are culturally related to the Pare, Taveta, and Taita peoples. They follow a patrilineal system of descent and inheritance. Their way of life is based primarily on agriculture, using irrigation on terraced fields and oxen manure. Although bananas are their staple food, they also cultivate various crops, including yams, beans, and maize. In agricultural exports, they are best known for their Arabica coffee, which is exported to American and European markets, resulting in coffee being a primary cash crop.

View More On Wikipedia.org
  1. sky soldier

    Siri kubwa ya wapemba na wachaga kumpisha Mkinga ni mkinga kuuza kwa faida ndogo, umoja, bidii, kuheshimu wateja na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Hao ndio wakinga bwana, hawaishi kukushangaza kwa jinsi walivyoimeza Kariakoo ambalo ndilo soko kubwa Tanzania nzima. Zamani ilishazoeleka hio sehemu wamejaa wachaga na wapemba na makabila mengine madogo madogo kama waha (hawa huwa wanalazimisha mno waonekane wanalingana na wenzao wakubwa)...
  2. ommytk

    Hivi wachaga pekee ndio mnaweza biashara ya bar au nyumba za starehe?

    Wadau sijui hii kama ni mimi tu nimeliona kuna hili la bar na nyumba za starehe kama clubs na vingine yaani asilimia 70 ya hivi vitu wamiliki ni wachaga yaani kila bar utasikia hiyo ya Kimaro sijui mara sijui Mushi mara sijui Lyimo hivi kuna Siri gani kwenye hili naomba nisieleweke vibaya...
  3. Perry

    Kwanini Wakurya na Wachaga wanaheshimiana na kuelewana sana kwenye mambo mengi?

    Hivi kwanini siku hizi imekua kama utamaduni alipo mkurya humkosi mchaga na alipo mchaga humkosi mkurya? Mkurya hayuko tayari kushirikiana kwenye mambo mbalimbali na makabila mengine kama wasukuma au wahaya kutoka kanda ya ziwa lakini anashirikiana na wachaga kutoka kanda ya kaskazini, same to...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
  5. Kasomi

    Wafahamu Wachaga; Asili, koo, utamaduni, Tabia, n.k

    Wachagga (pia huandikwa Wachaga) ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu (lakini pia mchanganyiko wa damu, hasa ya Kikushi) wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania. Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha...
  6. Artifact Collector

    Tofauti ya wachaga na wapare

    Wachaga na wapare wanatokea mkoa wa Kilimanjaro hizi ndo baadhi ya tofauti zao Ubahili Wachaga na wapare ni wabihili, Ila mchaga ni mbahili kama haingizi hela, Ila ubahili wa wapare umezidi mpaka umeenda kwenye uchoyo. Pride Wapare wanapride anaweza akawa zaidi ya makabila yote Tanzania, mpare...
  7. TODAYS

    Wachaga, huu utaratibu wa kujenga kaburi kabla ya kufa umeanza lini?

    Nimeshtushwa kidogo kutoka kwa huyu ndugu Kimaro. Mkoa wa Kilimanjaro, katika kijiji cha Mbosho, wilayani Machame, kutana na Patrick Kimaro, mwenye umri wa miaka 59, ambaye amejingea kaburi lake. Kimaro amesema ni sehemu tu ya kujiandaa na maisha ya baadae na kuongeza kusema amefanya hivyo...
  8. Kamanda Asiyechoka

    Pomoja na Chief Marialle kumpigia chapuo chifu Hangaya Wachaga hawamkubali sana, hawajamkaribisha kwa majani ya isale kama mtangulizi wake

    Mtangulizi wake alipoenda mkoani Kilimanjaro alikaribishwa kwa kutandikiwa majani ya isale hii ni kuonyesha heshima kubwa na kukubalika. Lakini Mtemi Hangaya hajapata mapokezi ya namna hii huu ni uthibitisho kuwa hakubaliki sana mkoani Kilimanjaro.
  9. YEHODAYA

    Kwanini Wachaga, Wapemba na Wakinga hawawekezi sana kwao?

    Tanzania wafanyabiashara wakubwa wanaosifika wengi ni Wachaga, Wapemba na Wakinga lakini hawawekezi sana vitega uchumi na biashara kubwa kwao wanawekeza tu mikoa mingine sababu ni nini?
  10. V

    Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  11. Extrovert

    Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

    Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuachiwa free now.
  12. M

    Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

    Ndugu zangu wachaga nawaandikieni kwa uchungu mkubwa. Mkiendekeza speed barabarani mjiandae na matokeo yake. Wiki mbili tumezika vijana yapata 8 kwa ajali. Yawafaa nini?
  13. F

    Wachaga No.1, Wasambaa No.2, Wanyakyusa vuta mkia.

    Ukitaka kujenga kiwanda cha Pombe nenda Moshi, utaokoa gharama kubwa za usambazaji. Jafari Shekanabo Shekifu na Mrindoko Mchome Senkoro walijitolea kukusanya damu nchini kusaidia vitengo vya dharura vya taasisi za tiba. Kwenye fomu ya kuchukuwa taarifa za mchangiaji damu waliweka sehemu ya...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Dkt. Kimei: Wachaga wanapenda magendo

    "Majimbo yaliyo mpakani yanakuwa na changamoto kama magendo, unajua wachaga wanapenda magendo, pia kuna unywaji wa gongo, utumiaji wa mirungi na bangi vimekithiri sana Vunjo sababu watu wengi hawana ajira, nahitaji Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ituambie itachukua hatua gani?" -Dk. Kimei
  15. Jidu La Mabambasi

    Wachaga wakwe zangu poleni, ilikuwa wiki yenu kwa vituko!

    Leo nalazimisha kuwatania wakwe zangu, wachaga! (sisemi nimeoa mchaga yupi) Mimii nimeoa huko kwa hiyo msifure kwa hasira na mkani RIP mie chasaka!! Wiki ilianza na mangi Wilfred Massawe, mambo ya viti moto yamekuwa magumu kwa hiyo kaanza utapeli. Akajiita Katibu uenezi wa chama Tawala na...
  16. I

    Kwanini Wachagga wanaongeza herufi mbele ya kila neno?

    Mfano badala ya kutamka baba wao wanasema babaa. Mfano badala ya kutamka mama wanasema mamaa, dadaa au kakaa. Wanataka watengeneza kiswahili chao?
  17. G Sam

    Hayati Magufuli nakusemesha: Isije kuwa ulisema wachaga wasiajiriwe kwenye taasisi za umma maana dhambi hii itaitafuna jamii yako iliyobakia

    Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma. Kama uliwahi kusema hivyo nakuhakikishia hutopumzika kamwe. Dhambi hii itaitafuna jamii yako iliyobakia. Nasema jamii yako itatafunika sana aslani. Kama hukuwahi kusema hivyo basi...
  18. K

    Je ni kweli wasukuma ndo walipendelewa kwa wajira zote serikalini na wachaga wote wakafukuzwa serikalini enzi za Magufuri-Angalia clip ya mbowe

    Jamani, niweweka ushahidi ambapo mbowe amemutuhumu Magufuri kupendelea Wasukuma katika ajira nakuwafanya wasukuma wote kula keki ya nchi wakati wachaga waote walifukuzwa serikalini na kupoteza biashara. Clip kama hii haiwezi kuchochea vita vya wasukuma na wachanga, mfano kama kwa sasa kuna...
  19. Idugunde

    Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

    Namnukuu Mbowe ''Miaka mitano ya Hayati Magufuli ilikuwa ni miaka ya mateso kwa watu wa Kaskazini hususan Wachaga, ilifika wakati Magufuli akatoa maagizo ya Wachaga kutoajiriwa Serikalini na kwenye Taasisi za Umma''
  20. W

    Kanda ya Kaskazini si Moshi kwa wachaga tu

    Imagine wewe ni laiser/Msuya/Mchome/Sumaye halafu unasikia mtu analeta mada ya Nothern zone huku akifikiri ukiongelea Nothern zone unaongelea Moshi/Wachaga. Kuna baadhi ya watu mnawakuza sana wachaga kila zinapoletwa mada za Nothern zone ilihali ni sehemu tu ya watu wa kaskazini. Ukiongelea...
Back
Top Bottom