Wabunge wa Tanzania wasusa na kutoka nje Bunge la Afrika Mashariki wakipinga kupitisha mswada wa Forodha

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,947
141,922
Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipinga kupitisha muswada wa forodha.

Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia.

Source ITV habari!
 
Hapo mkutano wa bunge unapofanyika ni wapi!? Natamani spika awashughulikie na wakitoka nje, rais wa.nchi unapofanyikia mkutano awashughulikie. kama yule dikteta anavyotaka iwe.
 
Wabunge wa Tanzania katika bunge la Afrika mashariki wamesusia kikao na kutoka nje ya ukumbi wakipings kupitisha muswada wa forodha.

Spika wa bunge hilo aliahirisha kikao kwa akidi kutotimia.

Source ITV habari!
Yaani wametumwa na "wananchi" bungeni wao wanatoka nje? "Ndugai" wa Afrika Mashariki peleka hao Kamati ya maadili, na wakitoka humo, Bashite kamata wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom