Kwanini wabunge wetu hawaja azimia chochote from their payments?

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Tumesikia viongozi, wanamichezo, wafanyabiashara wengi sehemu mbalimbali ya dunia wakichukua hatua za ziada kusaidia hili janga.
-kupunguza mishahara yao
-kuchangia fedha na vifaa
-Kutoa mishahara yao kwa ajili ya kusaidia hili janga

Nilitegemea hii serikali ya wanyonge hasa wabunge wanaojua hali za watz moja Kati ya kitu wangefanya ingekua kuacha kabisa kuchukua posho na kupunguza mishahara yao kwa angalau 70%......
YAANI NDUGAI ANATAKA KUENDELEA KUTUKAMUA TUUU..,....
WAWAKILISHI WA WANANCHI HAWAJAONYESHA KUJALI TUWAPINGE NA TUWAKUMBUSHE KUA NA HEKIMA NA HURUMA
 
major mwendwa

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,295
2,000
Thubutu, hilo ni eneo ambalo Wabunge wote bila kujali vyama vyao huwa wanaungana, Hoja ya vipato vya wabunge huwa inanifanya niyasahau mapungufu yote ya Zitto Kabwe, maake aliwahi kushauri kuna baadhi ya posho zitolewe, Posho tu za mbunge zinafikia 40m kwa mwaka, hapo bila mshahara huwa nasikia mbunge unapokea wastani wa 7m hadi 11m kwa Mwezi hapo ni mshahara, marupurupu, anafanya kazi miaka 5 akistaafu anapewa kiinua Mgongo 230m.

Mwalimu analipwa 900k, anafanya kazi miaka 35 anapata pensheni Mil 100 - 150, Siasa ni uwekezaji unaolipa sana Tanzania, hapo mtu akiwa Waziri ana mshahara wa Mbunge na Waziri, hanunui umeme, halipi maji, halipi nauli, chakula hajui bei yake
 
Lakini yote inategemea ni namna gani sisi tulivoqachagua tuna react......wakiona tunavohuzunishwa na wao kutoonesha kwa vitendo wanaweza kufanya Mambo ya maana........
ACTION and REACTION ARE ALWAYS EQU
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Hoja nzuri ila mnapenda kuigaiga sana... Yawezekana ikabuniwa njia nyingine ya kusaidia sio lazima hiyo ya kukatwa mishahara... Juzi ulianzishwa mfuko yawezekana wamechangia humo.
Fanya kazi acha porojo.
Wewe ni NDUGAI?
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,627
2,000
Ukitaka kuona jinsi gani wanasiasa wana umoja gusa masilahi yao ya kifedha. Hutojua yupi chadema yupi CCM.
Kuna kaukweli.......japo kipindi fulani wapinzani walipogusa suala la posho kupunguzwa maccm yaling'aka balaa.....
 
Drone Camera

JF-Expert Member
Jul 25, 2017
13,884
2,000
Yah ni verb ulifikir ni preposition au

State.Definition 9. (Verb) express in words
Synonym: say
state
tell
Hyponym: add
announce
answer
append
articulate
declare
enunciate
explain
get out
give
introduce
lay out
mention
misstate
note
observe
precede
preface
premise
present
remark
reply
represent
respond
sum
sum up
summarise
summarize
supply
vocalise
vocalize
hypernym: express
give tongue to
utter
verbalise
verbalize
Example: He said that he wanted to marry her
tell me what is bothering you
state your opinion
state your name

Now state what you know
 
Bambushka

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
2,798
2,000
Tumbo niachie nimwachie Manenge...
Tumbo niachie nimwachie Manenge...
Mara ubavu mmoja ukapasuka puuuh...

Hapo ndiyo utajua tuna serikali ya maridhiano na umoja wa kitaifa, ukijaribu kugusa posho za wapendwa kuheshimiwa....

Everyday is Saturday................ :cool:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom