Unaweza usiamini kama bungeni kuna wabunge Wakristo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani? Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzi kati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda.

Tundu Lisu kafukuzwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma. Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele.

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema "yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndipo sasa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza, kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema "yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Kama umemsikiliza vizuri Spika alivyokuwa akisindikiza maneno ya wanaosema Mbowe kaanguka kwa ulevi, hutakuwa na haja ya kujiuliza hilo swala. Bungeni hakuna dini na kipindi hiki ni cha kujitoa ufahamu Kama alivyofanya Silinde leo.
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza, kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda.

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema "yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Mengi ni mataahira kutoka Lumumba
 
Usishangae mara nyingi pesa huwafanya watu waonekane vichaa yani hapo kila mmoja ni mlopokaji ilimradi apate tonge
 
Kama umemsikiliza vizuri Spika alivyokuwa akisindikiza maneno ya wanaosema Mbowe kaanguka kwa ulevi, hutakuwa na haja ya kujiuliza hilo swala. Bungeni hakuna dini na kipindi hiki ni cha kujitoa ufahamu kama alivyofanya Silinde leo.
Nimekuelewa bwashee!
 
Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani.

Tena huwa najiuliza, kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani?

Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzikati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda .

Huya Tundu Lisu kafukuxwa baada ya kutunguliwa marisasi akiwa bungeni Dodoma

Mbunge mmoja alitaka mkwewe ambaye ni mbunge pia auwawe wabunge wakashangilia kwa vigelegele

Mbowe kavamiwa na majambazi wabunge wenzie wanasema "yule ni mlevi kaanguka" kana kwamba mlevi siyo binadamu.

Ndiposa najiuliza katika bunge la Dodoma lenye wabunge zaidi ya 300 hakuna mbunge mkristo hata mmoja tu?

Maendeleo hayana vyama!
Ingependeza zaidi ungeliita Bunge la CCM, since ndo majority ya wabunge wako pale. Huo u-roho mbaya unaouona ni matokeo ya majority interest.
 
Back
Top Bottom