johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,840
- 141,763
Wameanza Wakala wa Majengo ( TBA) kuwadai moja kwa moja wabunge kodi za pango bila kupitia ofisi ya Katibu wa bunge.
Ulipoombwa mwongozo bungeni waziri wa ujenzi mh Kamwelwe alisema mikataba hiyo ni binafsi kati ya TBA na wabunge hivyo wabunge wapambane na hali zao.
Kinachoendelea ni benk mbalimbali kuwataka wabunge walipe mikopo yao kabla bunge halijavunjwa na inasemekana kuna " janja janja" nyingi kwenye hiyo mikopo hivyo wabunge wengi wakiwemo wa CCM kuhitaji msaada wa Spika ili wavuke salama.
Hapo kwenye mikopo ya benki ndipo patawalazimu wabunge wengi wa Chadema wakiwemo wale wasiotarajiwa kujisalimisha CCM baada ya sikukuu ya Eid
Nawatakia sabato yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama