Ole Sendeka: Mzee Lowassa alishatabiri wapinzani kusikika tena ni baada ya miaka 50 kuanzia 2020, wabunge wa CHADEM kapigeni picha za ukumbusho

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,957
Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza.

Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na muda huo unaanzia uchaguzi mkuu wa 2020.

Kadhalika Ole Sendeka amewataka wabunge wa Chadema kupiga picha za kumbukumbu kwenye zulia jekundu la bunge za kuwaonyesha wajukuu zao kwani kuanzia mwakani bunge watalishuhudia luningani.

Chanzo: EATV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama NEC ni HURU kwanini Mkapa aseme haya? Acha KUKURUPUKA kutetea wizi, ulaghai na vitisho kweye uchaguzi.

2423857_ERFcWLLW4AIVOAq.jpg

Kwani NEC siyo huru?!

cc: Pascal Mayalla
 
Attachments

  • ERFcWLLW4AIVOAq.jpg
    ERFcWLLW4AIVOAq.jpg
    104.5 KB · Views: 1
Mwambieni huyo Ole Sendeka habari zake kuhusu mgogoro wa kiwanda cha chai Lupembe tunazo.Wakati anaimba mapambio akumbuke kuwa boss wake anamchora tu.
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza.

Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na muda huo unaanzia uchaguzi mkuu wa 2020.

Kadhalika Ole Sendeka amewataka wabunge wa Chadema kupiga picha za kumbukumbu kwenye zulia jekundu la bunge za kuwaonyesha wajukuu zao kwani kuanzia mwakani bunge watalishuhudia luningani.

Chanzo: EATV habari

Maendeleo hayana vyama!
Poyoyo bwana ni kazi kweli kweli.Kwake kupiga picha ndo kipaumbele chake? Bajeti imesomwa hana cha kushauri,kuongeza,kukosoa bali "picha ya ukumbusho? Aangalie picha zake za utotoni akiwa na makamasi kifuani avute hisia!
 
Kama ni KWELI wekeni Tume huru ya uchaguzi tuone ni lipi chaguo la wapiga kura kati ya ccm na Chadema.
Chini ya tume huru hawatoboi.
Wanatukana sasa hivi kwa sababu wanajua uchguzi unamuliwa na Magufuli na sio box la kura
 
Mkuu wa mkoa wa Njombe mh Ole Sendeka amewataka wabunge wa upinzani kusoma alama za nyakati na kujisalimisha CCM kwa haraka maana hakuna muda wa kupoteza.

Sendeka amesema mzee Lowassa mwaka 2015 alishatabiri kuwa wapinzani itawabidi wasubiri kwa muda wa miaka 50 ndio wataanza kusikika tena na muda huo unaanzia uchaguzi mkuu wa 2020.

Kadhalika Ole Sendeka amewataka wabunge wa Chadema kupiga picha za kumbukumbu kwenye zulia jekundu la bunge za kuwaonyesha wajukuu zao kwani kuanzia mwakani bunge watalishuhudia luningani.

Chanzo: EATV habari

Maendeleo hayana vyama!
Ulipewa wilaya ya simanjiro zaidi ya miaka 15, Hakuna maji,hakuna shule,hakuna barabara,hakuna vituo vya afya,hakuna umeme,majengo ya halmashauri hoi,Hakuna masoko.mwisho ukaishia kuchimba tanzanite mererani na leseni hulipiagi,ukaanza kuwatafutia wakubwa maeneo ya kuchimba tanzanite, Kule ulikosoma Moshi sekondari kidato Cha sita uliibuka na division zero, Sasa umepewa mkoa wa njombe hujafanya polite yote Mh Rais ameyaona.kuhusu siasa Sasa tulia maliza muda wako huko njombe ukachunge ngombe na mbuzi kijijini kwako.CCM ya Sasa sio Ile unayoijua wewe ni mpya yenye maadili mema tofauti na unavyodhani
 
Alichofanya Njombe anakijua mwenyewe na hakika mkuu kamvumilia tu amalizie huu muhula.Ila harudi ofisi awamu ijayo.Anaenda kuchunga kondoo huyu.Huyu inyeshe isinyeshe harudi iwe kwenye ubunge wala ukuu wa mkoa.
 
Back
Top Bottom