wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kama bunge halitaibana na kuihoji serikali nani atafanya jukumu hilo?

    Spika Ndugai amewataka wabunge kutimiza wajibu wao wa kikatiba kama mhimili wa kuibana, kuihoji na kusimamia serikali wakati wote tena bila kuchoka. Spika Ndugai amehoji kama wabunge wanashindwa kufanya kazi hiyo wanataka nani mwingine aifanye? Chanzo: ITV habari
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Wabunge kushangilia timu ya Soka ya nje ni sawa, tena ndani ya Bunge

    Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo ilichokipata Simba mbele ya Kaiser ya Afrika kussini. Nilijiuliza maswali mengi kwa tukio like lissilo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa namna wabunge wanavyolalamika kuna haja ya kuiangalia kwa makini Ilani ya CCM, yawezekana imejaa janja janja

    Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali. Natoa rai kwa wananchi tulioichagua CCM kwa kishindo kikuu tuipitie kwa makini Ilani ya uchaguzi hasa katika maeneo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bunge limepoteza Wabunge wengi lakini bado hawajali kwa kuvaa barakoa

    Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali. Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini? Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Siku hizi kila Mtu akijisikia tu anaweza kwenda Bungeni Kusikiliza na Kutambulishwa kwa Wabunge hata akiwa hana na hajafanya la maana kwa Taifa?

    Ifike muda sasa Heshima ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iwepo kama enzi za Awamu ya Kwanza, ya Pili, ya Tatu na kidogo ya Nne. Bunge siyo sehemu ya kuingia Wahuni, Watu wakorofi, Vibaka na Watu wasiotaka kwa Makusudi kuhama eneo Hatarishi la Jangwani ambalo kila Siku tu Serikali...
  6. J

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake ingekuwa Kenya huenda wasingekuwa wabunge, Mahakama ya Kenya iko huru zaidi!

    Sina hakika kama mahakama ya Tanzania inaweza kusema Rais wa JMT amekosea katika jambo fulani au iseme Rais anapaswa kushtakiwa kwa kuvunja katiba Mahakama ya Kenya iko huru, inaweza. Ingekuwa ni Kenya swala la Halima Mdee na wenzake lingekuwa dogo sana na huenda wasingekuwa bungeni kabisa...
  8. JamiiForums Tanzania kampeni za lala salama mhambwe wabunge wa CCM waweka kambi

    #MUHAMBWE KIGOMA Baadhi ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamewasili Jimboni Muhambwe Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufanya kampeni kwa wagombea Chama Cha Mapinduzi katika majimbo yote mawili ya Muhambwe na Buhigwe Wabunge hao ni Mheshimiwa Asia Alamga pamoja na Ng'wasi Kamani...
  9. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

    Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi! Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ni miezi 5 sasa NEC hawajajibu barua yangu kuhusu walikopata majina ya Wabunge 19 na nani amesaini fomu zao

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amesema ni miezi 5 imepita tangu amwandikie mkurugenzi wa uchaguzi NEC akitaka kujua ni nani alipeleka orodha ya majina ya akina Halima Mdee na wenzake na form zao zilisainiwa na nani pahala alipotakiwa kusaini Katibu mkuu. J J Mnyika anashangazwa sana na...
  12. JamiiForums Tanzania Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

    Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi ya kuweka Vinasaba (Marking) kwenye mafuta, TBS hawajui, Wabunge na Waziri Kalemani hajui chochote kinachoendelea. Je, kodi stahiki italipwa?

    DISCLAIMER: Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu hili suala kwa jinsi nilivyoliona na kulishuhudia. Sina maslahi yoyote na suala hili. ========= Ni maajabu juu ya maajabu. Nchi ina maajabu sana hii. Iko hivi: Hivi karibuni bungeni, Mb. Shabiby na Tabasamu waliibua hoja kwamba serikali imepigwa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

    Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali. Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza...
  15. J

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake . Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Gender stigmatization: CHADEMA kushinikiza kufukuzwa Wabunge Viti Maalum

    GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana amepinga ombi la CHADEMA linalomtaka awavue Ubunge wanawake 19 wanaokiwakilisha chama hicho kama wabunge...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Spika Ndugai asaidiwe kisaikolojia au aachwe?

    Dunia kuna vituko sana, Moja ya vituko vinapatikana Bungeni vikiongozwa na Job Ndugai. Huyu Ndugai anajulikana kama mheshimiwa Spika. Leo Ndugai ametumia dakika nyingi Bungeni akitaka kutetea legacy yake na kujifananisha na Spika Marehamu Samwel Sitta, Ndugai anaumia na kukwazika sana kwanini...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama uchumi umeyumba tangaza kupunguza mshahara wako pamoja na viongozi wako waandamizi na wabunge

    Habari! Kwakweli kama mtumishi ambaye sijapanda daraja tangu niajiriwe, siujui mshahara mpya nakaribia mwaka wa sita sasa hapa matumaini yanayeyuka. Naanza kufikiri nje ya duara. Hata hayo madaraja mapya sijui kama nami nitakuwa mmoja wapo. Maana idadi ya wanaostahili kupanda madaraja ni wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Swali: hivi wabunge wanalipa kodi?

    Habari wadau, Nimekaa nikatafakari income gap ya wabunge na sisi makanjanja. Naomba kujua mbunge anakatwa kodi kwenye mshahara wake m 12 kwa mwezi? Kama hakatwi why? mfanyakazi wa mshahara wa 280000 iweje alipe kodi na anayepokea zaidi ya 10M asilipe kodi? Karibu mnijuze.
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge wa hisani ya serikali hawezi kuisimamia serikali

    Namna katiba yetu ilivyo inahitaji bunge lenye nguvu na meno kuisimamia serikali. Lakini kwa bahati mbaya bunge letu karibu lote limejaa wabunge ambao wameingizwa bungeni kwa msaada wa tume na serikali kwa kuwapitisha bila kupingwa na njia nyingine ambazo bila hizo huenda wasingeshinda ubunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…