wabunge 19 waliofukuzwa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kabende Msakila

    CHADEMA mmechoka, hakuna 'consistency' ya maamuzi kuhusu Wabunge 19 waliofutwa uanachama

    WanaJf, Salaam tena! Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki" Ameongeza...
  2. Erythrocyte

    Je, Wabunge Wasaliti 19 watang'olewa Bungeni?

    Kuna Dokezo kwamba Wabunge wale 19 Wasaliti, waliojiuza na kuapishwa na Job Ndugai kwenye eneo la Gereji ya Bunge, huenda Wakaondolewa Bungeni kwa vile waliingizwa kinyume cha Sheria, inadaiwa kwamba hawana tofauti na lile zuio la mikutano ya hadhara lililoondolewa hivi karibuni . Taarifa zaidi...
  3. Replica

    Wabunge 19 Viti Maalum CHADEMA wafungua kesi. Bunge lasema linasubiri uamuzi wa Mahakama Kuu

    Leo spika wa Bunge ameelezea sakata la wabunge 19 wa viti maalum CHADEMA waliofukuzwa na chama chao. Kwa ufupi, wabunge husika wamefungua kesi mahakamani kupinga maamuzi ya baraza kuu la CHADEMA na Bunge limesema halitaweza kutangaza viti hivyo kuwa wazi kuuheshimu muhimili mwenzake wa mahakama...
  4. T

    Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile

    Kutokana na Spika Mstaafu kueleza kuwa Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile. Kwa vile bungeni kuna wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wanaoharibu pesa za wavuja jasho kwa kulindwa na mtu mmoja, napendekeza Spika ashitakiwe hata kwenye Mahakama ya...
  5. Nigrastratatract nerve

    Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

    "Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama, Kuliweka hili kwa...
  6. Mpinzire

    Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

    Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki. Mhe. Spika amevitaka vyama vya siasa pale wanapotaka...
  7. J

    BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Bawacha wamepanga kwenda Bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za Ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake . Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea Bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane...
Back
Top Bottom