wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunawataka DP World, Wabongo wa bandarini tumewachoka wamejaa rushwa na urasimu. Kuwe na kipengere cha Mkataba kuisha kila baada ya Miaka mitano!

    Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua. Kama Dp World hataki kuwa na mkataba wa miaka mitano, ije hata hio kampuni ya kigeni ambayo imepewa tenda kuendesha bandari ya...
  2. M

    Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

    Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu. Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo? They are acting like they were in boarding schools for 10...
  3. A

    Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Sudan wahamishiwa vyuo vikuu vya Tanzania. Hongera kwa Serikali ya Tanzania

    Hongera kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Hasa Rais wetu mpendwa kwa kupokea Wanafunzi wa Udaktari toka nchini Sudan. Ikumbukwe nchi ya Sudan ipo katika vita vya wenyewe kwa wenyenye. Mungu akawape utulivu, wepesi na waendelee vema na masomo yao katika Chuo cha Kikuu cha tiba...
  4. Rais Samia yupo sahihi. Ni Jambo gani nyie Wabongo mnaliweza?

    Ukiachana na wizi na ukosefu wa maadili ngono na Pombe je ni taasisi gani mmeweza kuiendesha ikaleta manufaa kwa taifa letu la Asali na masiwa? Huyu Mama kosa lake lipo kuwa chini ya chama chakavu lakini kichwani she a head of our time na tukiwatoa Mama zetu Mwanamke aliyebaki na akili ni huyu...
  5. Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

    Picha linaanza unakuta profile picture yake ni ya kibabe Ila kwa vitendo sasa unaona kabisa ni sifuri Wanajua zaidi kupiga domo kwenye misamiati na vitu maneno technical ila vitendo 0, utasikia naweza kupiga sql injection nipate password zote, System naweza kuitungua ddos ile, nikikaa man in...
  6. Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  7. W

    Ila wabongo wabishi aisee, tozo na mfumuko wote huu wa bei bado sikukuu zimefana kama kawa!!!

    Nazungumzia sikukuu zote za hivi karibuni; x-mas, mwaka na hii eid el fitr ya leo. Yaani... -majumbani mapilau yametawala -watoto wamewaka kwa mavazi mapya -kuna maeneo bidhaa kama viazi mpaka vilikwisha kwa jinsi vilivyonunuliwa kwa wingi. -wanawake walivaa -shows za wanamuziki kama zote -kumbi...
  8. Wabongo wengi ni wajinga kiasi kwamba hata sikukuu yao hawajui namna ya kuisherekea

    Nakumbuka miaka ya 90 mwishoni kuliandikwa habari kwenye magazeti kadhaa kuwa mlima Meru unaongezwa urefu. Kulikuwa na picha za Helkopta kuwa zitabeba mchanga kupeleka juu mlimani. Picha nyingine ilimuonyesha mtu ameshika sururu eti ni mtaalamu wa kuongeza milima urefu. Iliandikwa kwa namna ya...
  9. Kigali International Peace Marathon: Wabongo twendeni tukashiriki au tuandaeni mabango

    If you know wharra am saying. Maana huwa tunajitia umaajumui sana katika mambo tusiyoyajua.
  10. Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

    Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu. Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka...
  11. Afrika Kusini sio salama, kuna Watanzania wameuawa siku za karibuni

    Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa. Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa. Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini...
  12. Watanzania ni watu wa maneno maneno, kupiga kelele na kulialia tuu, Tukija kwenye Vitendo ni sifuri, 0, zero, nil, hamna kitu!. Je Tutabadilika?

    Wanabodi, Leo 30/12/2022 tunapoanza safari ya kuuaga mwaka 2022 hapo kesho na keshokutwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2023 hivyo naomba nianze makala yangu hii ya "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa kusema "kwaheri 2022, na Karibu 2023, kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya 2023 in advance, kwa rai moja tuu...
  13. Kipimo cha akili ndogo za Wabongo ni akili kubwa ya Dkt. Bashiru

    Nchi hii uzwazwa hautaisha tangu lini mawazo na maoni ikawa tusi kwani hao viongozi ni machifu au mitume. Opofu kila Kona Maoni hayapigwi rungu jibuni hoja Kwa hoja. Very absurd and huge shame for the Country. Watu wanatembea na akili za ukipepeo kwenye vichwa vyao. Anzisheni uraia pacha...
  14. Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  15. Wabongo wanakera sana tabia ya kusikiliza mpira redioni kibanda umiza wakati mechi inaendelea

    Moja kwa moja. Inakera sana unakuta upo kibanda umiza mnaangalia mechi mtu anaanza kushangilia goli kabla ya mpira kuingia wavuni au mtu anahadithia tukio la mbele kabla kutokea wakati mechi inaendelea. Watu wa namna hii nashinda kuwatafsiri kichwani mwao kupo vipi, natamani niwatandike makofi...
  16. GRRM: Fundi aliyeficha siri kubwa ya ‘A Song Of Ice and Fire’ na fikira fupi za Wabongo

    George RR Martin huenda akawa muandishi wa muda wote duniani. Msipaniki… HUENDAAAAA….! Series ile pendwa ya muda wote, Game of Thrones, ikitokea kwenye vitabu kadhaa vya G RR Martin. Series ambayo baada ya wabongo kuishtukia utamu wake, ilikuwa ikioneshwa kwenye club za Masaki huko per season...
  17. Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  18. A

    Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

    Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu kufanya review ya vitu hata havielewi Pia same oraimo powerbank nikakuta review ya mkenya mmoja yeye...
  19. Wabongo bana!!!

    Yani huku bongo, mwenzetu akijaribu kujiachia na lugha ya kigeni, watatokea maprofesa wa lugha kila kona.... "Ooh! Kingereza feki..." ....."Apo kabomoa"....mara "Anajifanya"....mara "Huyu, anatuaibisha".... Maprofesa wenyewe unakuta ushamba tu, hakuna anayejua hili wala lile...akishajua kusema...
  20. Kwanini wabongo wanadhani kutafuta mpenzi mtandaoni ni umalaya?

    Mpenzi huweza kupatikana mahali popote iwe klabu, kwenye ngoma, shule, kanisani nk. Ni suala la kupatana tu. Kuna watu wanakesha makanisani na hawapati watu wa kuwa nao na kuna watu wamepatana barabarani na wamedumu. Ukuaji wa teknolojia umefanya zoezi la kutafuta wapenzi kuwa rahisi kwa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…