Wabongo wamchamba kweupeeee Irene Uwoya ,wamwambia aache kulia kinafki yeye ndiye alisababosha Ndikumana afe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,459
21,179
Irene Uwoya baada ya kupost kumbukizi ya kifo cha aliyewahi kuwa mume wake, marehemu
Screenshot_20231115-201520_1.jpg
Screenshot_20231115-201452_1.jpg
Screenshot_20231115-201434_1.jpg
Screenshot_20231115-201411_1.jpg
Hamadi Ndikumana (Katauti) mashabiki wamemjia juu na kumwambia aache unafiki maana yeye ndiye sababu ya Ndikumana kufariki.

Ndikumana na Irene walifunga ndoa mwaka 2009 na kubatika kupata mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Krish.

Ndikumana na Irene ,harusi yao ilikuwa gumzo sana enzi hizo maana ilikuwa harusi ya gharama mno kuwahi kutokea.

Ndikumana kabla ya kifo chake aliteseka mno kuhusu Irene na kupungua kwa maokoto kulichangia.

Kilichokuwa kikimuumiza zaidi Ndikumana ni kusalitiwa na Irene na mtoto mdogo kabisa ,ambaye ni dogo janja.

Ndikumana alifariki kwa mshtuko wa moyo baada ya kupata taarifa ya Irene kuolewa na dogo janja.

Marehemu Ndikumana alikuwa anacheza nafasi ya ulinzi wa pembeni akicheza pande zote kulia na kushoto alijizolea umaarufu kiasi cha mashabiki kumpachika jina la Kataut kutokana na uwezo wake wa kupokonya mpira washambuliaji (Tackling).

NDIKUMANA%201.jpg


Uwezo wake ulionekana kuwa mkubwa zaidi kwenye soka akiwa na umri wa miaka 19 tu kiasi cha kuzivutia klabu mbalimbali za Ulaya. Kataut alifanikiwa kuzichezea timu za KV Turnhout na KV Mechelen za Ubelgiji kati ya miaka ya 2000 na 2003.

Baadae alijiunga na klabu ya RSC Anderlecht ya hukohuko Ubelgiji kabla ya kucheza klabu zingine kadhaa kwenye nchi mbalimbali barani Ulaya hadi mwaka 2011 alipomalizana rasmi na klabu ya soka ya APOP Kinyras Peyias FC ya Cyprus ambapo alirejea nyumbani Rwanda na kisha kujiunga na klabu ya Stand United ya Shinyanga ambapo hakudumu sana.

NDIKUMANA%20UWOYA%201.jpg


Rayol Sports ilibaki kuwa nyumbani kwa Kataut kutokana na upendo wa mashabiki wa klabu hiyo kwake tangu akiwa mdogo ambapo baada ya kustaafu kucheza soka aliibukia kwenye majukumu ya ukocha akiwa kocha msaidizi wa Rayol Sports chini. August 8 aliiongoza Rayol Sports dhidi ya Simba kwenye Tamasha la ‘Simba Day’ ambapo walipoteza kwa bao 1-0.

screenshot_20231115-200927_1-jpg.2814740



kanuti-3-jpg.2814730
-521480904.jpg
Screenshot_20231115-201009_1.jpg
Screenshot_20231115-201237_1.jpg
screenshot_20231115-201311_1-jpg.2814751


Screenshot_20231115-201349_1.jpg
 

Attachments

  • kanuti-3.jpg
    kanuti-3.jpg
    38.2 KB · Views: 32
  • Screenshot_20231115-200927_1.jpg
    Screenshot_20231115-200927_1.jpg
    59.9 KB · Views: 43
  • Screenshot_20231115-201009_1.jpg
    Screenshot_20231115-201009_1.jpg
    23.9 KB · Views: 11
  • Screenshot_20231115-201311_1.jpg
    Screenshot_20231115-201311_1.jpg
    52.6 KB · Views: 31
Ikumbukwe, Ndikumana alianza kumuona Irene Uwoya kupitia filamu ya Oprah na akaanza jitihada za kumtongoza hatimaye kufunga naye ndoa.

Wakati huo huo ,aliyewahi kuwa mpenzi wa Irene kipindi hicho ambaye alikuwa anajishughulisha na mambo ya madini alimpiga chini Irene baada ya kuona hiyo filamu ,akamuona malaya hafai kuendelea naye.
 
Ikumbukwe Ndikumana alizama penzini kwa Irene Uwoya kipindi hicho Irene Uwoya mapepe kwelikweli ,kipindi kifupi Irene anatoka kushirikk mashindano ya umiss Tanzania na kufanikiwa kuwa wa tano na mwaka huo namba moja wao alikuwa Wema Sepetu ,akifuatiwa na Jokate Mwegelo,Lisa Jensen, Aunty Ezekiel watano ndiye yeye Irene.

Ikumbukwe kipindi hicho Irene alizidi kupata umaarufu kupitia filamu ambazo alikuwa anacheza ambazo asilimia kubwa zilikuwa zinaleta msisimko wa ngono kulingana na maneno yake matamu matamu na kukaa nusu utupu .

Ikumbukwe Irene Uwoya alishawahi kuimbwa na Matonya (Taxi bubu).
 
Ikumbukwe, Ndikumana alianza kumuona Irene Uwoya kupitia filamu ya Oprah na akaanza jitihada za kumtongoza hatimaye kufunga naye ndoa.

Wakati huo huo ,aliyewahi kuwa mpenzi wa Irene kipindi hicho ambaye alikuwa anajishughulisha na mambo ya madini alimpiga chini Irene baada ya kuona hiyo filamu ,akamuona malaya hafai kuendelea naye.
Umesahau h.baba na Yale maneno alisemaga

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Muwe mnaangalia na wanawake wa kuoa, unaenda kujipachika kwenye beseni la kumwagia shahawa kama hilo halafu utegemee nini zaidi ya kufa kwa stress!!
Kumbuka Irene Uwoya na Ndikumana walifunga ndoa ya kanisani kabisa, na wakristo huwa hawaachani kirahisi rahisi japo Irene alimpiga chini Ndikumana .

Stress zilimjaa Ndikumana alipoanza kupata habari nani amemnyang'anya mke wake kipenzi ,stress zilimzidi mpaka kufariki baada ya mke wake kuchukuliwa jumla (kuolewa) na dogo janja.

Aliumia zaidi kuona aliyemnyang'anya mke ni mtoto mdogo mno.
 
Back
Top Bottom