Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
"Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu.

Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara.

Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi wanaokunywa Maji ya Ujazo huo hujikuta wakiwa wameibua Magonjwa mengine Miilini mwao" amesema Profesa Mwenye Akili Nyingi Janabi muda mfupi tu uliopita alipokuwa Mubashara ( Live ) ITV na Radio One katika Kipindi nilichokisahau Jina ila Mtangazaji Miongozaji wake Julieth Robert kutokana na Urembo wake na Sauti yake tamu sijamsahau.

Haya sasa endeleeni tu Kufakamia Mimaji Lita 5 na Kubeba Michupa yenu hovyo barabarani kama Wendawazimu mkijidanganya kuwa mnaimarisha Afya zenu wakati akina GENTAMYCINE tunaokunywa Glasi Tatu ( 3 ) tu za Maji tunaendelea kuwa Werevu (Intelligents) na Afya zetu Kuimarika kila Uchao na Kuonekana bado ni Vijana wakati sasa tunaelekea Saa 12 Jioni.

Kazi Kwenu.
 
Janabi nae fix tu.
Mpaka kusikia kiu maana yake ushauchelewesha mwili kuupa maji, si vyema kunywa maji eti baada ya kuhisi kiu.

Pili.
Maji mtu anakunywa kutokana na uzito wake.

Ni kweli lita 5 ni nyingi mnoo, lakini lita 2-3 inabidi tunywe kwa siku kwa mtu mzima.. hapo factor ya kazi(kuutumikisha mwili) tumeweka pembeni.
 
Sidhani kama amefanya research yeye kama yeye ila nakubaliana na alichokisema kwani mesikia hizo habari kitambo toka kwa madocta nguli wa huko mbele kama Dr Hyman mark na Dr berg ambao naamini nae kafatilia na kujifunza toka ktk makala za watu kama hao...

Na nadhani siku sio nyingi atakuja na maswala ya intermediate fasting pia jambo ambalo litakuwa zuri pia
 
Janabi nae fix tu.
Mpaka kusikia kiu maana yake ushauchelewesha mwili kuupa maji, si vyema kunywa maji eti baada ya kuhisi kiu...
Huna hata Degree bado unabishana na Profesa mwenye Heshima iliyotukuka Kitasnia na Kiuweledi halafu bila Aibu unataka Kutulazimisha tukuamini Boya na Pimbi Wewe.

Hebu tupishe tafadhali.
 
Janabi nae fix tu.
Mpaka kusikia kiu maana yake ushauchelewesha mwili kuupa maji, si vyema kunywa maji eti baada ya kuhisi kiu.

Pili.
Maji mtu anakunywa kutokana na uzito wake.

Ni kweli lita 5 ni nyingi mnoo, lakini lita 2-3 inabidi tunywe kwa siku kwa mtu mzima.. hapo factor ya kazi(kuutumikisha mwili) tumeweka pembeni.
Maji mengi yanaupotezea mwili madini muhimu wanasema it washes electrolytes... Vinginevyo unywe mineralsed water
 
"Unatakiwa kunywa Maji pale tu Mwili wako ukikuambia au ukijisikia kuwa una Kiu. Na hata kama usiposikia Kiu na kutokunywa Maji bado Afya yako itakuwa imara. Huwa nashangaa mno kuwaona na kuwasikia Watu wakisema kuwa Mwanadamu kwa Siku anatakiwa Kunywa Maji Lita 5 hii si sahihi na wengi wanaokunywa Maji ya Ujazo huo hujikuta wakiwa wameibua Magonjwa mengine Miilini mwao" amesema Profesa Mwenye Akili Nyingi Janabi muda mfupi tu uliopita alipokuwa Mubashara ( Live ) ITV na Radio One katika Kipindi nilichokisahau Jina ila Mtangazaji Miongozaji wake Julieth Robert kutokana na Urembo wake na Sauti yake tamu sijamsahau.

Haya sasa endeleeni tu Kufakamia Mimaji Lita 5 na Kubeba Michupa yenu hovyo barabarani kama Wendawazimu mkijidanganya kuwa mnaimarisha Afya zenu wakati akina GENTAMYCINE tunaokunywa Glasi Tatu ( 3 ) tu za Maji tunaendelea kuwa Werevu ( Intelligents ) na Afya zetu Kuimarika kila Uchao na Kuonekana bado ni Vijana wakati sasa tunaelekea Saa 12 Jioni.

Kazi Kwenu.....!!
Tena watu wengi mioyo yao imepanuka. Ni hatari mno.
 
Sahihi mkuu, swali je maji yetu hayana madini au sisi tunakunywa distilled water?
SWALI KUU KABISA
Je maji mengi ni kuanzia litre ngapi?
Mie nampinga profesa kuniambia nisigide maji mpaka nipate kiu.
Cha kwanza elewa kwamba kuugua kwako ni faida kwa madoni wanaomiliki viwanda vya madawa huko nchi za wenzetu na watu hao hasa marekani wana ushawishi mkubwa ktk hbr zote zinazohusu tiba na wana nguvu hata ya kushawishi matokeo ya research yawe watakavyo wao kwa faida ya soko Lao la madawa...
Hivyo asilimia kubwa ya magonjwa tunayougua yanatokana na mifumo yao ili wauze madawa

Madini ya kutosha ktk maji hapo uzungumzie maji ya chemichemi ila haya ya bombani yameongezwa chemikali ambazo si salama kwa afya yako kama fluoride na chlorine... Fluoride inadumaza IQ yako...

Huko tiktok na YouTube muwe mnafatilia maswala ya afya pia kuna nondo za maana na zinasound sana wafatilie Barbara O'Neil, Dr Berg,
View: https://vm.tiktok.com/ZMjQo5QFu/
 
Nashukuru mkuu, japo maelezo ni mengi, jibu la swali langu hakuna.
Je wingi wa maji ni lita ngapi?
 
Sidhani kama amefanya research yeye kama yeye ila nakubaliana na alichokisema kwani mesikia hizo habari kitambo toka kwa madocta nguli wa huko mbele kama Dr Hyman mark na Dr berg ambao naamini nae kafatilia na kujifunza toka ktk makala za watu kama hao...

Na nadhani siku sio nyingi atakuja na maswala ya intermediate fasting pia jambo ambalo litakuwa zuri pia
Intermittent fasting mbona kashaongelea.
 
Back
Top Bottom