Nimechoshwa na maisha ya majuu kutokana na majungu ya Wabongo

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Aisee hamna watu wenye visirani, majungu, chuki na unafiki kama wabongo aisee nimekoma wakuu sio kwa msoto huu ambao wabongi wamenifanyia yaani sio poa kabisa yaani bila hawa white wabongo ambao nimetoka nao nchi moja wangenifanyia ilikuwa too much.

Yaani kutokana na blessing na mafanikio yangu wabongo kutokana na ujuha na uyawani wao nusura waniroge kunipiga kipapai aisee! Kuroga? Ndio kuniroga aisee nimeshangaa yaani huu ujinga wano watu kutoka kanda fulani fulani hivi aiseee.

kabla ya kuja huku kuna watu waliniambia ebu epukana na hao wabongo hao ni nuksi watakusababishia shida nikakataa au kuwabishia sasa kilichonikuta aisee yaani too much.

Hapa nilipo najiandaa kuhama state niende St. Louis missouri maana huko no wabongo wajinga wajinga kule ni white ambao kila mtu ana deal na own bussiness kuliko kuishI na hawa wabongo machizi, wanafiki, wazandiki n.k

Mnaofika majuu ebu mjihadhari na kuwa close na wabongo hao wenzetu.Nimewaambia msije sema sijawaambia aisee
 
Umeandika kama tunakujua vile. . Jazia nyama mkuu.. Wapi upo, watu gani , wemekufanya nini, ili na sisi tujiadhali nao
 
Back
Top Bottom