vyombo vya habari

  1. Habari ya ITV iliyowang'oa DED na DC Mvomero: Vyombo vya habari kutakiwa kuomba ruhusa kabla ya kurekodi na kutangaza habari

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa
  2. Rais Mutharika: Amewataka wafuasi wake kupuuza matokeo yanayosambazwa na vyombo vya habari

    Ijapokuwa tume ya uchaguzi ya Malawi MEC bado haujatangaza matokeo ya uchaguzi wa urais uliorudiwa , ishara za mapema zinaonesha kwamba rais Peter Mutharika yuko nyuma ya mpinzani wake mkuu Lazarus Chakwera. Kulingana na mgombea mwenza Atupele Muluzi, ambaye alisema kwamba ametumwa na Mutharika...
  3. J

    Mamlaka ya Jeshi la Polisi juu ya vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma za Habari (2016)

    Mamlaka mbalimbali zimepewa madaraka kubwa katika kudhibiti maudhui na shughuli za kila siku za vyombo vya habari. Nguvu hizo, hasa kwa vyombo binafsi vya habari, zinaingilia uhuru wao wa uhariri na hivyo kuathiri kwa upana uhuru wa vyombo vya habari, kutoa maoni na kujieleza. Mamlaka ya Polisi...
  4. R

    Pamoja na vyombo vya habari kutoripoti Yanga kubebwa, Azam waiandikia barua bodi ya ligi

    Katika msimu ambao Simba wameandwamwa na vyombo vya habari kuwa wanabebwa na waamuzi ni msimu huu.Waandishi bila kujadili maadili yao ya kazi waliweka ushabiki mbele kuwa Simba inashindwa kwa kubebwa bila kuangalia upande wa pili ambao mechi zao nyingi zimekuwa na maamuzi yenye utata. Ilifikia...
  5. Rais Donald Trump aanza vibaya kampeni huko Oklahoma, ashindwa kujaza uwanja wa watu 19,000. Avilaumu vyombo vya habari na waandamanaji

    Rais wa Marekani, Donald Trump amefanya kampeni yake ya kwanza tangu kuanza kwa mlipuko wa CoronaVirus ambapo watu wachache wamejitokeza Mapema wiki hii, Rais Trump alisema watu takriban Milioni 1 wamenunua tiketi za kampeni hiyo iliyofanyika Tulsa, Oklahoma lakini uwanja unaomudu watu...
  6. GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  7. E

    Ahsante Mbunge Cecil Mwambe kwa kueleza kiu ya watanzania baada ya kutoka kuhojiwa na Takukuru

    Niliwahi kuleta uzi hapa nikiwasihi wabunge wa CHADEMA waliokuwa wakitoka kuhojiwa takukuru wasitupe majibu tusiyoyahitaji. Hasa suala la makato ya pesa kwa wabunge wao, kwani hakuna aliyekuwa anahoji makato, bali maswali yalikuwa ni matumizi. Sasa leo kupitia itv mbunge Cecil Mwambe ameliweka...
  8. Vyombo vya habari Tanzania vimethibitisha aliyoyasema Lissu

    Yale yale aliyoyasema kwamba vyombo vya habari haviko huru kuanzia Clouds, Azam, ITV wameshindwa kabisa kuwa huru kuipa airtime hii habari, Pamoja na kuwa trending news africa kupitia mitandao ya kijamii,BBC, VOA, DW lakini wao wamekuwa kimya. Wakati wako tayari kurusha habari ya TLP kumpitisha...
  9. F

    Tangu tarehe 21/05/2020 nilikuwa nje ya vyombo vya habari hadi leo 05/06/2020. Mnijuze nini kilijiri

    Halo wadau wa JF nimekuwa katika mazingira magumu sana kupata habari kuanzia tarehe 21/5 hadi Leo 05/06/2020. Maisha haya ni mahangaiko na sikuwa na simu wala redio mahali nilikokuwepo. Wadau na familia yangu naombeni msaada wenu nini kilijiri humu nchini na duniani kisiasa, kiuchumi, michezo...
  10. Je, Vyombo vya Habari vioneshe wazi vyama wanavyosapoti kama Nchi zilizoendelea?

    Vyombo vya Habari vya nchi zilizoendelea kama Marekani, vimekuwa na kawaida ya kusema wazi Vyama au Itikadi ambazo wanazisapoti katika vipindi vya uchaguzi, na hali hiyo huendlea hata baada ya uchaguzi. Katika nchi zetu za Afrika vyombo vya habari haviweki wazi labda baadhi ya magazeti ambayo...
  11. Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  12. Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  13. Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Uandishi wa Habari bila Hofu au Upendeleo

    Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari maarufu kama Siku ya Waandishi wa Habari Duniani ni ni moja ya matukio yaliyopanga, kusimamiwa na kuhamasishwa na Umoja wa Maifa likiwa linaadhimishwa kila mwaka Mei 03 Siku hii inaadhimishwa kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa uhuru wa waandishi wa...
  14. Kongole kwa Wanahabari wote tukiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Nawatakia wanahabari wote, ikiwemo timu nzima ya Jamii Forums, maadhimisho mema ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hii ni tasnia ngumu sana na inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Ukipewa jukumu la kutetea ukweli, ni rahisi kutengeneza maadui wengi, hata wale wanaokolewa na ukweli huo. Tuzidi...
  15. Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”

    Hapo chini ni video yenye title “....Corona virus FINALLY HITS Africa” , kwa wanaoelewa hasa maudhui ya lugha ya kiingereza, ni kwamba neno FINALLY hutumika pale ambapo unakua unasubiria jambo flani kwa hamu na shauku kubwa lakini linakuwa linachelewa kutokea, na pale linapotokea ndio sasa...
  16. M

    Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

    Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu...
  17. Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona

    Wanabodi Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona. Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto...
  18. Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

    Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu...
  19. Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

    Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa . Wote Mnakaribishwa
  20. Kumtangaza mshindi wa mamilion kwenye vyombo vya habari ni kumuweka kwenye hatari kubwa sana

    Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…