vyombo vya habari

  1. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyombo vya habari vya nchi jirani vinaeneza uongo, vichukuliwe hatua Kali

    Magazeti ya nchi moja jirani yanaandika habari za uongo na kusababisha taharuki, naomba mamlaka zinazohusika zichukue hatua stahiki. Mfano People Daily online hasa la leo. Ni wakati mzuri Sasa Watanzania tushikamane kuitetea nchi yetu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeanza mbinyo kwa vyombo vya habari kutoka Kenya?

    Je, hali hii inatokana na taarifa zilizotolewa na chombo hiki kuhusiana na afya za viongozi wa Tanzania? Wenye Azam Tv angalieni channel namba 331
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo avikumbusha vyombo vya habari kuwa kutumia uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari watiwa nguvuni Tigray - Ethiopia bila kuambiwa sababu ya kukamatwa kwao

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za Kimkakati zilizoifanya Yanga SC ya Mwakalebela Kuzungumza na Vyombo vya Habari jana

    1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake. 2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC ) awaogope na awapendelee ili washinde Mechi yao. 3. Kumuhusisha kwa Kumtaja hadi Kumzungumzia...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Editorial Rooms za Vyombo vya Habari Tanzania ni kichekesho

    Leo nimekuwa nafuatilia taarifa mbalimbali za misiba mikuu iliyolikumba taifa kwa kupitia mitandao ya kijamii na mitandao ya magezeti mbalimbali. Mara nyingi habari za kwenye mitandao ya kijamii unazichukulia kama fukuto tu, ila habari kamili uzipate kwenye mitandao ya vyombo vya habari kwani...
  8. Rahma Salum

    JamiiForums Tanzania Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi za Sanaa bila uhakiki wa BASATA, TFB na COSOTA

    Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imetoa tamko kuwa, kuanzia tarehe 1/5/2021 Televisheni na Redio hazitaruhusiwa kucheza wala kuonesha kazi yoyote kwenye vituo vyao bila kazi hiyo kuhakikiwa na BASATA (Muziki...
  9. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

    Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa. Source: world press freedom index. Year. 2020. 1. Namibia 2. Cape varde 3. Ghana 4. South Africa 5. Burkina Faso 6. Botswana 7. Senegal 8. Madagascar 9. Mauritius 10. Niger 11. Seychelles 12. Cote D' ivore 13. Malawi 14. Tunisia...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi. Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya Uhuru wa vyombo vya Habari

    Vyombo vya habari huru humaanisha kuwa hakuna mtu anayepaswa kudhibiti na kushawishi utangazaji wake wa habari. Hakuna mtu anayepaswa kuviambia vyombo vya habari ni nini kinachoweza kuingizwa na nini hakipaswi kuingizwa katika habari wanazozitoa. Inamaanisha kuwa vyombo vya habari havifai kuwa...
  12. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya nje na msimamo wa Tanzania juu ya Covid-19

    Mchoraji maarufu wa katuni pale DW nchini Ujerumani ametoa mchoro unaoelezea uhalisia wa yanayo endelea kati ya shirika la afya duniani WHO na wenye maamuzi nchini Tanzania. Je, hii ni sifa kwa taifa?
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums katika kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa nchini

    Salaam Wakuu, TAKUKURU yautambua mchango mkubwa wa JamiiForums pamoja vyombo vya habari Nchini katika kuendeleza mapambano dhidi ya rushwa nchini. Tukio hilo limefanyika leo 28 Januari Jijini Dar Es Salaam wakati wa Uzinduzi wa Chaneli mpya ya TAKUKURU TV ya YouTube. Tukio lhili imeambatana na...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Vyombo vya Habari kuanza kutumika Januari 2022

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari (2016), itakayoanza kutumika Januari mwakani. Wakati akizingumza na na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Upinzani acheni kukimbilia Vyombo vya Habari

    Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu. Siasa sio kwenye vyombo vya habari kama hamuwezi kufanya siasa acheni kuwajingisha Wananchi. Kama kuna faida basi wakulima wangalienda...
  16. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kushtaki vyombo vya habari kwa kutumia picha yangu bila ridhaa yangu?

    Kuna picha huwa zinazagaa mtandaoni na zinatumiwa Sana na vyombo vya habari bila kuziba privacy ya muhusika..mfano Ni picha iloyozagaa kwenye vyombo vya habari hasa kipindi hichi Cha sikukuu. Picha hiyo inaonyesha mtu akipuliza kipimo Cha pombe kwenya habari iliyotolewa na jeshi la polisi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la habari msitafute mchawi, Chanzo kikubwa cha vyombo vya habari kufa ni kukosekana "Habari za kiuchunguzi"

    Jukwaa la habari na wachambuzi mbalimbali wanadai kukosekana kwa wateja kwenye vyombo vya habari kumeletwa na teknolojia ya mitandao! Wanadai kwamba Siku hizi watu wengi wanapata taarifa mitandaoni hivyo ndiyo maana hawanunui magazeti au kuangalia TV. Madai kama haya hayaakisi ukweli halisi wa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ukimya wa Vyombo vya Habari kujadili mwenendo wa Spika na Bunge lake?

    Tunamshukuru Spika wa zamani Mhe. Pius Msekwa kwa kujaribu kuzungumzia kasoro na mwenendo wa bunge la Job japo alitumia akili kubwa zaidi kwa kuzungumzia wale wabunge wa viti maalum wa Chadema maarufu kwa jina la Covid -19 lakini lengo kubwa ni kutaka kuarifu umma kuwa maamuzi mengi ambayo...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

    Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam Tafadhali usikose Tafadhali mjulishe Mwenzako Tuna Jambo Letu
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tumehimizwa kuanza kuliona Bunge kwenye Vyombo vya Habari

    Tunashukuru awamu ya tano kwa kuruhusu Bunge live Tena, tunashukuru kwamba gharama za matangazo ya Bunge live si kigezo Tena Cha kudhibiti Bunge Live. Ila kwanini media hazituelewi? Leo shamrashamra za kupatikana kwa spika 99.7% Dodoma hazijapewa kipaombele kwenye media hasa social media tatizo...
Back
Top Bottom