Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,397
18,014
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.
 
Nilikuwa nimekaa kibalazani na bibi wa makamo,
ameniambia hali ya mafuriko kama hii ilijitokeza mara ya mwisho mwaka 1998.
Kitu pekee cha kujivunia kwa sasa katika mafuriko haya, samaki wamekuwa wengi sana, wanaletwa mpaka majumbani mwetu na maji.
 
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.
View attachment 1403256
😁😁😁😁 Mbunge huyu bhana maji yamefika shingoni ameona aseme tu tatizo ni media zetu kuto kufatilia habari Kama hizi na pili siasa inavyo endeshwa kaubaguzi hatuta fika mbali
Na mwisho ni meishiwa hata la kusema kuhusu huyu mbunge kutojua bajeti ya miundombinu ya hapo ndoa maana naamini ubunge ni masrai ya mtu binafsi nasio uwakilishi ndio maana ndio huwa zinatamalaki kule
 
Mradi wa Nyerere Gorge Hydropower Plant umeanza kwa kukurupuka bila Environmental Impact Assessment na hata Feasibility Studies was not comprehensively done and these are the low lying fruits za ukaidi wa Rais Magufuli alisema studies zinachalewesha!
 
Naona huyu mbunge hajitakii mema. Hii ni hujumaa! Haturuhusiwi kuonesha vitu hivyo. Hivyo vyombo vya habari ni vya kizalendo kweli kweli. Usioneshe mkwamo wowote bali angetuonesha kuleee kwenye mradi ulipofikia na kumalizia na mkwamo. Huo ndo uzalendo. Onesha zaidi mafanikio na mkwamo uwe kiduchu kabisa
 
Mradi wa Nyerere Gorge Hydropower Plant umeanza kwa kukurupuka bila EMP na hata Feasibility Studies was not comprehensively done and these are the low lying fruits za ukaidi wa Rais Magufuli alisema studies zinachalewesha!
Sawa kabisa...
Ukiuliza tunaharakishia au kuwahi nini?

Mtu ana sababu binafsi za kutaka kuacha LEGACY, at what cost??

Na media kama zimepigwa pin zisirushe hizo taarifa..

Tunasikitisha SANA...

Everyday is Saturday......................:cool:
 
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.
View attachment 1403256
Kwahiyo umeme wa Stiglaz Joji utakwama? Hizo ni laana za kudharau ushauri wa watanzania wazalendo. Mradi mkubwa wa umeme bila barabara utawezekana kweli?
 
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.
View attachment 1403256
Kwenye title, umekuaje mkuu kuwa vyombo vinaogopa?
 
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.View attachment 1403256
Shetani hana rafiki
 
Chombo vya habari vinamuonesha mtu mmoja ambaye kichaa kimepanda anagalagala kwenye mawe na kutupa mawe hovyo kwenye mapaa. Baada ya kuona imebuma wakaona walioige picha kama anaota jua
Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu wanateseka, chakula, malazi lakini inaonekana ni kawaida tu.View attachment 1403256

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa mkuu wa MKOA wa ARUSHA huu uhujumu uchumi!
 
Kuna wale waliokuwa wanaripoti migogoro ya wakulima na wafugaji wakapigwa marufuku, sasa watu wa media wanaogopa kuripoti habari za maafa kama hizo kisa jamaa hazipendi, yeye anapenda chini ya utawala wake pasiwe na janga lolote, sijui anadhani yeye mungu!

Hata hii Corona ingekuwa ni ya Tanzania pekee angepiga marufuku media zisiripoti, sijui ni mtu wa aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom