vyombo vya habari

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu afanyiwa mahojiano kwenye kipindi cha ITV dakika 45

    Turn and watch now. Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo: Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

    Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza . Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 UCHAGUZI 2020: Vyombo vya Habari tunavyovihitaji Tanzania

    Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 umeanza. Je, tunahitaji Vyombo vya Habari vyenye sifa zipi wakati tukiingia kwenye kampeni hizi? Nimeorodhesha hapa chini matarajio 7 ambayo yanapaswa kufikiwa na vyombo vya habari nchini ili kujenga mazingira bora ya Kampeni na Uchaguzi. 1...
  4. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hoja fikirishi: CHADEMA kwanini mnadai Uhuru wa Vyombo vya Habari huku mkivinyima haki, kufukuza na kuvidhalilisha!?

    Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii. Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao. Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi imevionya Vyombo vya Habari vinavyotangaza wagombea wamepita bila kupingwa Kinyume cha Sheria

    NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa hizo zinaweza kupeleka uvunjifu wa amani Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Vyombo vya Habari vitaanza kumpa "Coverage" kubwa Tundu Lissu, mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
  7. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu asema pingamizi ya kufanya kampeni kabla ya wakati ni kelele za kupuuzwa, awananga wahariri wa Vyombo vya Habari

    Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini Update zaidi kuwafikia ==== Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na wananchi, amesema vyombo vya habari hasa televisheni hazijaona mikutano hiyo kwa hivyo haikonyeshwa...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

    Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa Vyombo vya Habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.
  9. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ubaguzi wenu utawaponza. Hii siyo haki

    Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli. Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

    Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi. Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jaji Kaijage: Baada ya uhakiki, sasa tuna jumla ya wapiga kura 29,188,347. Vyombo vya Habari vitende haki kwa vyama vyote

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347 Source East africa radio My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote. Maendeleo hayana vyama! ====== Daftari la wapiga...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Uchaguzi utakuwa huru na wa haki hata kama vyombo vya habari vitaendelea na katazo la kutangaza habari kampeni za vyama mbadala?

    Vyombo vya habari kutangaza kwa usawa kampeni za vyama vya siasa ni moja ya vigezo vya uchaguzi ulio huru na wa haki. Siyo sawa hata kidogo kwa CCM kuvikataza vyombo vya habari kutangaza kampeni za vyama vingine vya siasa. Tume ya Uchaguzi inapaswa kuingilia kati suala hili.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwenye vyombo vya habari na kufanyiwa vurugu, CHADEMA wanasaidiwa sana

    Kama Mwana CCM, tena mbunge mstaafu anayetetea kiti chake kwa mara nyingine, napata wakati mgumu sana jimboni ninapokutana na wapiga kura na washabiki wa CCM. Inaonekana wazi kabisa kwamba tunapoteza wanachama wetu wengi mno, kitendo ambacho kitatutia aibu ifikapo kipindi cha uchaguzi. Majuzi...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ikishutumiwa kufanya upendeleo kwa vyombo vya Habari itaonewa?

    Mada inahusika. Kumekuwa na wimbi shutuma la kuminywa kwa habari kwa vyombo mbali mbali lakini vile vile kumeonekana upendeleo wa wazi. Kuna haya magazeti likwemo la "TIMES OBSERVER" "JAMVI LA HABARI", "LA JIJI" na mengineyo yamekuwa yakikiuka taratibu za uandishi na hatujaona hatua za wazi...
  15. G Sam

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Vyombo vya habari vya ndani vitawajibika kama vyombo vya habari vya nje walivyojiunga navyo vitakiuka sheria ya habari

    Wakuu, Hassan Abbas (Daktari) ambaye ni msemaji mkuu wa serikali ameweka rasmi kofuli la uhuru wa habari Tanzania. Akitoa ufafanuzi leo anasema "Leseni mpya ya vyombo vya habari vya ndani ambavyo vinataka kujiunga na vyombo vya habari vya nje inavielekeza kuwajibika kama vyombo hivyo vya nje...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani juu ya vyombo vya habari

    Kutokana na figisu figisu na yanayoendelea na yanayotegemewa kutokea kuhusu wapinzani kunyimwa airtime kwa maagizo toka juu ili wananchi wasipate kusikia sera za upinzani baada ya wao kutamba miaka 5 pekee yao wakiongelea vitu vilivozoeleka kwa wananchi huku wakiwa hawana kipya cha kuwaeleza...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Ubabe wa watawala wetu umepaisha umaarufu wa vyombo vya habari vya nje vya BBC, DW na VoA!

    Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya vyombo vya habari kuwekewa pingamizi kuhusu habari za Lissu, sasa mmeelewa kwanini CHADEMA walizuiwa kuingia uwanjani msiba wa Mkapa?

    Wengi walidhani kwamba Chadema walichelewa kuingia uwanjani kwenye msiba wa Mkapa na ndio maana walizuiwa kuingia. Hata account ya Sugu ilidafuliwa kupandikiza wazo hilo. Yote haya yalikuwa mpango maalum. Njama. NIlieleza wazi kwamba habari kutoka jikoni zilieleza wazi kwamba kwa makusudi...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu ailipua TCRA na Idara ya Habari Maelezo kwa kunyanyasa Vyombo vya Habari vinavyoripoti habari zake, aahidi kuifutilia mbali

    Akizungumza kutoka Singida Mgombea huyo wa Urais wa CHADEMA, Mhe. Lissu amefichua njama za kishamba za TCRA na idara ya habari maelezo za kushughulikia vyombo vya habari vinavyoripoti habari zake. Tayari BBC wamepigwa faini ya Tsh. mil. 15 kwa kurusha mahojiano na Tundu Lissu huku RFA ikiambiwa...
  20. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2020 Swali kwa Rais Magufuli: Hofu ya nini juu ya Vyombo vya Habari?

    Hofu yote hii ni ya nini? Mmeondoa "local chanels" kwenye ving'amuzi vyote ikiwemo Dstv l, mmebakiza TBC tu. Mmelazimisha nchi nzima itizame TBC. Hamjaridhika, sasa mmehamia kwenye radio. Mnatunga kanuni za kuzuia watu kusikiliza radio za nje? Lengo ni nini? Yani sasa hivi Dira ya Dunia ya BBC...
Back
Top Bottom