vyombo vya habari

  1. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi ACP Ramadhani Kingai afunguka upande wa Jamhuri

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mbowe na wenzake wamefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Septemba 15, 2021 kwa ajili ya kusikiliza kesi yao. Mahakama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

    Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya. Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kipindi chote...
  3. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Vyombo vya habari vs Taarifa kwa Umma

    Ipi imekaa ki weledi zaidi? Mie naona 'Taarifa kwa Umma' kwa sababu unatumikia umma na unaitaarifu umma, lkn kusema Taarifa kwa Vyombo vya habari naona ni makosa makubwa sana beyond repair (ni kukosekana weledi katika kufahamu who is your boss and who should you report to). Vipi mtazamo wako...
  4. Emmanuel R. Ntobi

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari unavyobinywa na Jeshi la Polisi

    Kumekuwa na sintofahamu kuhusu matukio yanayoendelea katika mkoa wa Shinyanga. Inaelezwa kuwa matukio yanapotokea Kamanda wa Polisi ambaye tangu aje mkoani Shinyanga ameonekana kutokuwa na ushirikiano na vyombo vya habari kuwa kubana kutoa taarifa za matukio kama wanavyofanya makamanda wengine...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania DCI na IGP maelezo yenu kuhusu Hamza kupitia vyombo vya habari hayaeleweki

    Tuna kumbuka juzi wakati kwenye mazishi ya askari,IGP sirro alipoulizwa kuhusu Hamza. Yeye mwenyewe alijibu “hamza ni muhalifu” mpaka kushushi lawama wazazi na walio karibu na marehemu. DCI ==== Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo ya simu na Kansela wa Ujerumani (Angela Merkel)

    Rais Samia amezungumza na Kansela Wa Ujerumani Bi Angela Merkel Leo kutokea Ikulu ya Magogoni ----
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vyombo vya habari vya Magharibi vimeanza kuzungumia maabara ya virusi ya Fort Detrick ya Marekani

    Katika muda wa miezi michache iliyopita, ukitafuta maneno “Fort Detrick” kwa kutumia Google, hakuna chochote cha maana kilichoonekana, na hata baadhi ya watu katika nchi za magharibi, hasa Marekani kwenyewe wengi walikuwa hawajui kama Marekani ilikuwa na maabara ya virusi inayoitwa Fort Detrick...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Marekani na Ulaya ni wanafiki sana

    Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahojiano kwenye baadhi ya vyombo vya habari hayavutii?

    Habari wanajukwaa! Let's focus on our tittle ni kwamba tunaona kwa baadhi ya vyombo vya habri wanapofanya vipindi vya mahojiano tu, inakulazimu kubadili channeli maana unakosa kuvutia na unachokiona kwenye televisheni ama kukisikia kwenye redio. Swali ambalo nakosa majibu rasmi ni nani chanzo...
  10. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari kama Televisheni na Redio za Tanzania havina habari za biashara

    Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
  11. Chee4

    JamiiForums Tanzania Kwani Mbowe hawezi kuwa Gaidi? Sura ya gaidi inafananaje?

    Kumekuwa na nguvu kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kuhusu kukumatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa tuhuma za ugaidi nchini Tanzania. Vyombo vya habari vya nje mfano BBC, Aljazeera, VOA na vingine vingi na magazeti mbalimbali ya mtandaoni yamekuwa mstari wa mbele kulaumu kuwa...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Wanabodi, Wiki iliyopita nilialikwa TBC kwenye kipindi cha Mizani, kinachoendeshwa na Dr. Ayoub Rioba. Mada kwenye kipindi hicho ni "Dhima ya Vyombo vya Habari Kulinda Maslahi ya Taifa". Kwenye mjadala kuliibuka hoja jinsi Vyombo vya habari vya nje vinavyoibagaza Africa katika ripoti zake...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Je, Samia ni Rais kivuli kama inavyodaiwa na vyombo vya habari vya nje?

    Jarida la The African Intelligence liliripoti wiki iliyopita kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete ndio mshauri mkuu asiye rasmi wa Rais Samia na anatumia ushawishi wake kusukuma agenda za uongozi wake zilizopigwa chini na Magufuli kama mradi wa Bagamoyo. Jarida lengine la the Africa Report...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari punguzeni kuandika habari za uhalifu, mnauchochea

    Kuna tatizo la vyombo vingi vya habari kuandika kwa sehemu kubwa habari za kihalifu na jinai kuliko habari za maendeleo, kiukweli watu wakiwa wanasoma hizo habari mara kwa mara kunaleta adiction fulani watu kuanza kuutekeleza uhalifu ule au kuanza kujenga hofu kwenye jamii. Kwa muda sasa...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi ya Vyombo Huru vya Habari katika Maendeleo ya Jamii

    Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aalikwa rasmi Clouds FM katika kipindi cha Traffic Jam siku ya Ijumaa

    Taarifa zinazosambazwa duniani kote leo hii zinaonyesha kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania , Laingwanan , Mtemi Isike au Ustaadh Abubakar, Freeman Mbowe, amekubali mwaliko wa Clouds FM kwenye kipindi chao cha Traffic Jam ijumaa hii. Kaeni tayari kwa nondo na bila shaka Operesheni haki...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wahariri wa Vyombo vya Habari mmetuangusha sana

    Hongereni kukutana na Mhe. Rais. Hongereni kupata vinywaji Ikulu. Hakika hamkujipanga,mlitakiwa wahariri mkutane kwanza muandae maswali Magumu na mazuri na mngegawana maswali na majina mngempa MC kwaniaba ya wahariri. Mhariri umetoka mkoani unamuuliza Rais anauonaje Urais (mwandishi kweli)...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Wahariri wa Vyombo vya Habari - Juni 28, 2021

    Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu, Dar es Salaam leo Juni 28, 2021 Updates: Deodatus Balile, Mwenyekiti - Jukwaa la Wahariri Tangu ulivyoingia madarakani hakuna redio iliyofungiwa, gazeti lililofungiwa, mtandao au...
  19. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Kimataifa vinakuja, tujiandae kuvipokea na kuvipa ushirikiano

    TUJIANDAE KUVIPOKEA VYOMBO VIKUBWA VYA KIMATAIFA Na Elius Ndabila 0768239284 Juzi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu HASSAN amewataka viongozi wakuu wa sekta na taasisi za umma kujipanga kuupokea ugeni unaotumia vyombo vikubwa vya habari vya habari watakaokuja kuitangaza Tanzania. Alisema ugeni...
  20. kali linux

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Cristiano Ronaldo kushusha thamani ya Cocacola kwa kutoa chupa zake

    Hello bosses, kuna baadhi ya media hasa za Spain na mashabiki wa Ronaldo wanakuza sana effect ya hili jambo la Ronaldo kuweka pembeni chupa za coca cola na kuchagua maji wakidai kitendo hicho kilifanya hisa za Coca cola kushuka. Nimeona sio mbaya kuchambua hili jambo kwa sababu ni uongo mtupu...
Back
Top Bottom