vyombo vya habari

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Wakati tukielekea mwisho wa ratiba ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, ambao unatarajiwa kuwa leo jioni saa 10.00, Chama...
  2. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  4. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Uhusiano Kati ya Vyombo vya Habari na Intelijensia

    Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa uwezo wa wingi au usiri wa taarifa unaopatikana bali katika uwezo wa zile taarifa kupelekea maamuzi...
  5. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

    Katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari leo jijini dodoma...Kaimu balozi wa Marekani ametoa tamko la Serikali ya Marekani juu ya Hali ilivyo kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini kwa kumpiga kijembe waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi kwa kusema "Uhuru wa vyombo vya habari...
Back
Top Bottom