vyombo vya habari

  1. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA MVUA NA MAAFA YA MAFURIKO NCHINI
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamati ya taifa ya Maafa imetembelea Rufiji na Kibiti

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wanaomwibia Rais Samia ndio wanalipa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kumsifia anaupiga mwingi! Anawajua?

    Watu wale wanaoiba mali za umma, watu wale wale ambao makampuni na maeneo yao ya utawala yamejaa ubadhirifu ndio hao hao wanalipia gharama za vipindi kwenye radio na televisheni wamsifie kwamba anaupiga mwingi. Watu wale wale ambao anawatumbua kila siku kwa kushindwa kumsaidia ndio hao hao...
  6. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Baraza la Habari Tanzania lahimiza Weledi, umahiri kwa vyombo vya habari kulinda heshima kada hiyo

    WAANDISHI wa habari wametakiwa kufuata kwa kina maadili ya waandishi wa habari ili kukuza weledi na umahiri wa kada ya habari na kuzifanya taasisi za kihabari ziweze kuaminika na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Akizungumza na wadau wa habari katika ziara yake iliyofanyika Zanzibar tarehe...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari nchini vina Promote Ngono

    Tukisema vyombo vya habari nchini Tanzania vina promote Ngono tutakuwa tunakosea? Huyu Dada baada ya Kutrend na Video zake anazofundisha Ngono mitandaoni kapata nafasi ya kualikwa kwenye Malkia wa Nguvu na kupostiwa kwenye Chombo cha habari kikubwa nchini. HII NCHI INA VITU VYA AJABU SANA...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jana mngeniona kwenye vyombo vya habari nikisambaa kama moto nyikani. Alitaka nitafutia kesi

    Nimetoka zangu home nikaona niende kijiwe samli kufanya service ya gari. Ijumaa mabruki ilikuwa kwangu tawile tu sina makuu ni siku ambayo mara nyingi nala biryani pale Kariakoo, Lumumba Maghorofani. Jana haikuwa hivyo. Nikaona isiwepo tashdidi. Nikiwa na kanzu yangu nikannunua vimiminika...
  9. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji vyombo vya habari vilivyo huru sasa

    Labda tukiondoa Korea kaskazini, Tanzania inaweza ikawa nchi inayofuatia kwa kuwa na media ambazo kazi yao kubwa ni kumsifia rais. Ukiangalia magazeti karibu tote, radio na TV station yote ni kusifia tu. Hakuna tena uchambuzi, ukosoaji na uelimishaji. Wako wapi akina Generali Ulimwengu, Absolom...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  12. ProcrastinatorInChief

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: APHTA warudi mezani tujadili kuhusu kitita cha NHIF huku wagonjwa wakiendelea kutibiwa

  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Makelele ya vyombo vya habari vya Magharibi hayazuii China kuendelea kuchangia ukuaji wa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa pato la taifa la China la mwaka 2023 liliongezeka kwa asilimia 5.2 ikilinganishwa na mwaka 2022. Lakini likihesabiwa kwa dola za kimarekani, lilikuwa sawa ama hata chini kidogo kuliko mwaka 2022. Wakati huo huo, pato la taifa...
  14. PD_Magumba

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kufuzu kwa Yanga SC kumewaumiza sana SIMBA SC kiasi kwamba wanaropoka kila mara kupitia vyombo vya habari

    Ndugu zangu hivi nini kimepelekea viongozi wa SIMBA kuchanganyikiwa baada tu ya Dar Young Africans SC kuingia quarter final ya CAFCL 2024. Musemaji wao anaropoka. Page zao zinaropoka tu. Siamini kama SIMBA haina watu professional wa mpira. Au SIMBA anaogopa kwamba hata kama atafuzu basi...
  15. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TAMWA Zanzibar avitaka Vyombo vya Habari kuripoti kwa kina Mapungufu Sheria za Habari ili zifanyiwe marekebisho

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo. Akizungumza na...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania waungana na Wanahabari wa Simiyu kumpinga DC Simalenga

    CHAMA Cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kinaungana na Chama cha Waandishi wa Habari mkoa Simiyu (SMPC), kulaani tukio la Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Simon Simalenga kuwadhalilisha wanahabari. Kwa mujibu wa taarifa ya SMPC, Simalenga ambaye amewahi kufanyakazi katika chombo...
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano CHADEMA Mwanza kuhujumiwa na Media: Ni wakati Kuviadhibu vyombo vya habari

    CHADEMA kikiwa ndio chama kikuu cha upinzani na chama ogopewa na watawala wa CCM kimepanga maandamano huko Jijini Mwanza. Kuna waandishi wa habari wabaadhi vyombo vyenye heshima kubwa wamepewa fedha, wanakusanya vijana wa Bodaboda ambao kwa asili ni vijana wa chama tawala wamekuwa wakijifanya...
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania TCRA: Vyombo vya habari vinavyochanganya lugha kuchukuliwa hatua, ‘kuna haja ya kukiita kipindi Goodmorning?’

    Meneja huduma za Utangazaji, TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka amesema kuwa tabia ya vyombo vya habari kuruhusu watangazaji kuchanganya lugha kwenye vipindi vyao ni kosa kisheria na watachukuliwa hatua. 📹 TheChanzo Written by Mjanja M1 ✍️
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Nape: Wanasiasa wote wapewe nafasi sawa kwenye vyombo vya Habari

    Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi. “Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Vyombo vya Habari vya Tanzania vyajiondoa ndani ya Chungu, hebu Someni hili gazeti

    Kwa miaka yote Tulipokuwa tunaelimisha Jamii kuhusu Haki , Uhuru na Demokrasia tulionekana kama vichaa, Kujihusisha na siasa ilionekana kama kujitafutia kifo na ujinga , Mamluki wa Watawala wakatutukana matusi yote hadi ya nguoni, hatukuwa na cha kuwafanya na wala hatukuhangaika nao sisi...
Back
Top Bottom