Infact,
Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
binafsi
dhidi
habari
hongera
katika
kazi
kisiasa
kukataa
kusimama
kusimamia
majukumu
matakwa
misingi
na vyombo
nchini
nia
vyombovyombovyahabari
waandishi
waandishi wa habari
wenye
Wanabodi,
Kama unaishi Tanzania basi bila shaka utakuwa unafahamu kuwa media zetu haziko free kama ambavyo zinatakiwa ziwe.
Suala la kukosoa serikali limekuwa ni nadra sana kusikika kwenye media za Tanzania ambapo media nyingi zimekuwa ni mouthpiece ya chama tawala wakiogopa kuikosoa serikali...
Hello
Siasa za Bongo buyibayiii
Nitajikita kuangalia Vyombo vya habari za Kimataifa nikikutana na habari za Bongo huko nitaweka msisitizo maana itakuwa imehit kwenye jamiii.
Vyombo vya habri ni BBC, CNN, CBS, FRENCH INTERNATIONAL, DW, CHINESE INTERNATIONAL, ALGERZEER, DAILY MONITOR, Japanese...
Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wa wizara hiyo, Isabela Maria Katondo imeeleza kuwa wajumbe wa Bodi hiyo Thobias...
https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
Nimefuatilia mahojiano mbalimbali kwa miaka ya hivi karibuni ya vyombo vya ndani ya nchi na nje ya nchi. Nilichobaini Taifa lina wanasiasa wasiofika ishirini ambao wanaweza kutofautisha mahojiano maalumu na uwasilishaji wa hoja kwenye majukwaa ya kisiasa.
Katika ngazi za vyombo vya habari vya...
Kipindi nakuwa enzi za primary, seko hadi chuo nilikuwa mtazamji bora wa CNN na BBC.
Lakini sikujua kuwa vyombo hivi vimekaa kimlengwa zaidi, yani vinakupa habari zile wanaziona wao ndio muhimu katika itikadi yao huku wakiwa wana-criticize wasio na itikadi kama zao.
Na nilihabarika kupitia CNN...
Serikali itaendelea kutengeneza Mazingira
Akishiriki Mkutano wa 14 wa Chama cha Mawasiliano cha Afrika Mashariki (EACA), Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba amesema Serikali itaendelea kutengeneza Mazingira yanayowezesha vyombo vya habari kustawi
Amesema hiyo inajumuisha kushughulikia...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12
Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote
Tutakujuza
Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024
Nasrallah expected to give speech at 6 p.m.
Today, 10:25 am
3...
Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini?
Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua yoyote.
Angalia hii habari hapa chini, nimejaribu kuziba jina la hiyo media ili kutomchafua kwakuwa...
Kumekuwa na tabia inayoendelea kushika kasi kwenye nchi yetu ya wananchi kutaka au kuwasilisha kero zao na matatizo yao moja kwa moja kwa rais, wakati huo viongozi wa mikoa na wilaya wapo na wameaminiwa na rais kumuwakilisha.
Swala hili limeshika kasi sana katika nchi yetu ya Tanzania. Swali...
Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki.
Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
Unaweza kuingia sehemu za kupumzikia wageni mathalani hotelini, guest house au lodge usikute box au pakiti ya kondomu mezani, hata sabuni siku hizi mpaka uombe kwa muhudumu tofauti na kipindi cha nyuma vyote unavikuta chumbani.
Na wakati huo mtu anaweza kuwa na mchepuko mmoja tu Lakini anatumia...
Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda.
Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi.
Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
Kumekucha tena.
Hili siala limeshajadiliwa sana sehemu mbalimbali. Hivi kwa taifa hili changa tunajivunia nini kuanza kujadili michezo redioni na kwenye televisheni saa 2 asubuhi? Kweli?
Najua wapo watawala wana hofu kuhusu wenye nchi kuwa na uelewa wa mambo yanayowahusu na hatimaye kuchukua...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wahitimu wa Kozi ndefu ya mwaka 2023/2024 katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kutumia maarifa waliyoyapata katika kazi zao kwa manufaa yao na nchi zao.
Rais Dkt. Samia ametoa...
Kuna mambo mengi sana ambayo Taifa inafanya na inaendelea kufanya ikiwamo uchaguzi ujao.
Lakini sasa ukisikiliza au kutazama vyombo vingi vya habari vingi vinachochea ugomvi na kufanya vitu vya qjabu.
Cha ajabu ni kwamba hata watoto,Vijana wote wako huko tu kusikiliza na kufuatilia vitu...
It's fine tumeamua kuachana na mijadala inayohusu mstakabali wa maisha yetu tumajikiti kwenye starehe. Vyombo vya habari vimeacha kufanya utafiti na kuja na mada zakuisaidia serikali kufanya maboresho tumeamua kuwa wana michezo.
Tumeamua kuacha kabisa matumizi mabaya ya muda kwenye house media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.